Kamati ya Usalama na Ulinzi

Ndondobwila

JF-Expert Member
Jun 9, 2015
562
407
Hodi Great Thinkers!
Nianze kwa kukiri kuwa mimi ni mbumbumbu wa katiba ya nchi yetu Tanzania.
Naomba nisaidiwe kujibu swali hili : JE KAMATI YA USALAMA NA ULINZI INAYOONGOZWA NA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA IPO NDANI YA KATIBA YA TANZANIA?? Kama jibu ni ndiyo, kifungu au vifungu vipi?
Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom