Miaka ya nyuma niljkua na mahusiano na dada falan iv yaan nilimpenda yule dada nae ilifikia atua siku za wkend anakuja job nampa funguo anaenda kunifanyia usafi home...
Kuna siku mahusiano yaliyumba kidogo nakuja muliza kwa nn iv..akajibu bora nitafute mtu mwingine yy kwa sasa hayupo tiari na anarudi shule kusoma...nilimuomba asinifanyie ivyo na kama ni shule nipo tiari kumsubir mpaka atapomaliza
Dah..manzi ndio alipandwa na hasira na kuniambia na no zake nifute,kesho yake nakuta ashaniblock kila kona
Nikayaruhusu maisha yasonge.. sasa mwanzoni mwa mwaka huu nikagongana nae mahali..kachoka mbaya,yaani ata kuniangalia usoni hawezi..kumbe alipigwa mimba kazalia nyumbani...
Now ata anipe free papuchi sitaki!
Sent using
Jamii Forums mobile app