Kamati ya kuvunja ndoa

Mungi mbona unataka kuleta siasa Chit Chat???? Huku hakuna mambo ya majungu kama ilivyo kule!!!! Sasa natoa onyo, waguse hao hao akina Madame B
sweetlady, Filipo, marejesho, Preta ila ukinigusa mimi tu na mtu ambaye nitamtangaza Tanga jua umekwisha.
 
Last edited by a moderator:
We Mungi acha mambo yako
Utafumabniwaje na mke wako
sweetlady ni mke wangu kwa hiyo siwezi fumaniwa
We ndo unamtamani sana uwe nae
 
Last edited by a moderator:

Sasa we Baba V unataka wadau tukupigie kura ya kutokuwa na imani na wewe ngoja tu
 
Last edited by a moderator:

Hahaaaaaa huo Mkwara wa madafu tu................ hebu tangaza tukuweke kwenye list............. tena kabla ya Tanga inatakiwa Madame B awe amefumaniwa tayari akiwa kapakatwa na Mungi
 
Last edited by a moderator:
We Mungi acha mambo yako
Utafumabniwaje na mke wako
sweetlady ni mke wangu kwa hiyo siwezi fumaniwa
We ndo unamtamani sana uwe nae

Hapa sasa nadhani ndoa zetu zinahitaji kuwa na mwogozo! Unapata wapi kiburi cha kumtangaza hadharani mke wa "Mtu" kwamba ni wako!? Baba V embu kam zis wei umweke mtu lokapu! Tukiwaachia mtakuja kwa wake zetu pia!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…