sasa LUDOVICK UTTOH anafanya kazi gani?
sijaelewa hii TCRA ipo kwa ajili ya nani na kwa ajili ya nini. Maana hata ukiangalia tabu tunazopata katika mawasiliano na huduma za internet kutola kwa makampuni. Lakini TCRA hakuna wanachotusaidia tunawaandikia kero kwenye magazeti mitandaoni lakini hamana cha maana wanachotusaidia TCRA+SUMATRA= WIZI
Sio tigo peke yao hata airtel!
Kuna kipindinilimsikia zito kuwa TCRA wanahela mapaka wanaikopesha serekali kwa ajilli ya miradi na matumizi ya kila siku ya serekali.
Hao Voda ndo usiseme! Hii mi-promosheni yao ni ya kuwakamua tu wateja wao!
namjua mkuu wao wa sheria..digrii moja ya mlimani na madaraka makubwaaa..hana hata exposure ya east africa..shhit!!!Ni wajibu wa TCRA kuwazuhia kampuni za simu kufanya yafuatayo: Kulazimisha wateje michezo ya bahati na sibu kwa kuwalaghai na maneno ya kitapeli, na mteja husipokuwa makini unakuta unakatwa shilling mia tano per SMS, kupoteza muda kwa kusikiliza matangazo ya biashara kabla hujaunganishwa - mtu kama una simu ya emergency unaweza kutupa chini simu kwa hasira, utangazaji wa biashara kwenye simu umezidi sana wateja wanahitaji mawasiliano siyo matangazo ya biashara-kama kunamteja anahijati huduma hizo za biashara basi a-subscribe na siyo kulazimishwa kusikiliza clap! TCRA imewapa a blank cheque kampuni hizi kufanya watakalo, mtu unaweza kufikili hakuna chombo cha Serikali cha kuratibu mambo hayo.
Kilichowahi kunishangaza zaidi kuhusu TCRA, ni pale walipo sema walikuwa hawajuhi SMS zilizokuwa zinatumwa kwa wateja wa simu za mikononi wakati wa vugu vugu la uchaguzi wa RAISI zilikuwa zionatoka wapi; we fikilia ajabu hiyo, lakini pale una ambiwa kuna Mkurugenzi wa ICT, naibu wake na maafisa chungu mzima wanao husika na ICT, watu hawa walishindwaje kujuwa nani alikuwa anasambaza SMS za uchochezi; bila juhudi za ITV ku-trace origin za SERVERS zilizokuwa zinatumika kusambaza SMS hizo hakuna mtu yeyote ambaye angejuwa kilichokuwa kinaendelea na nani muhusika!
hapana ila ni hao hao..chipeta wa ubalozini huyo ni baba mkwe..sasa angalia life ya kifisadi ya mtoto na madudu ya baba yake mheshimiwa jaji...wateja wote wa mheshimiwa jaji wanaendelea na mtoto wake Walter chipeta..matumizi ya huyo kijana hapo mjini ni kama laki 5 kila siku..ushahidi utauona hapo Jack's..na mahoteli makubwa..ufisadi hapo mpaka tabaka fulani linyofolewe kwa upanga ndo utaisha..Hivi huyu ndio baba yake CARO CHIPETA aliyepelekwa ubalozini London?
No wonder serikali inadai haina pesa
Inasemekana kwamba regulatory bodies Kama Ewura, Sumatra, na TCRA zinakusanya fedha Ngingo na kuzifuja vibaya, Kwa mfan Hawa TCRA mwaka jana walitumia tshs. 2.3 bil tshs eti Kwa training ya staff wao, Jambo ambalo haliwezekani Kamwe. 2.3 bil Kwa watt watatu?!?!?!