gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 12,959
- 15,886
Huyo jamaako kishakimbia,nimemuonesha uwongo wake,hiyo Hadith ya uthman kuchoma Quran na kitengeneza nyingine ni uwongo, Hadith hiyo ni hiiTatizo waislam ni maamuma, hawana elimu, utakuta wazee wamejazana misikitini huku hawaujui vema uislam wao, ni wabishi hata wakielezwa ukweli. Labda gen z wanaweza kubadilika na kuachana na upuuzi wa dini ya kiislam na kuwa huru kifikra
Sahih Bukhari Hadiths Sahih Bukhari Hadiths
Haisemi anachodai