Kamati ya Al Azhar na kuunda Qur’an standard (1924)

Kamati ya Al Azhar na kuunda Qur’an standard (1924)

Si nimekupa aya hapo mtume akiteremshiwa wahyi anawadomea wanaandika kisha anawaambia wasome aone kama wameandika alichowasomea,au kichwa kigumu huelewi!?
وَقَالُوا أَسَاطِيرُ الْأَوَّلِينَ اكْتَتَبَهَا فَهِيَ تُمْلَىٰ عَلَيْهِ بُكْرَةً وَأَصِيلًا
Na wakasema: Hivi ni visa vya watu wa kale alivyo viandikisha, anavyo somewa asubuhi na jioni.
Quran 25:4-5
Historia ya Muhammad alikuwa hajui kusoma na kuandika mpaka anakufa. Sasa hiyo wahyi alikuwa anatumia kifaa gani kusoma na wanaandika?
Nimewauliza waislamu wengi wanatofautiana katika suala la Quran kushushwa. Wengine wanasema Quran ilishushwa na wengine wanasema Muhammad alikuwa anawasomea na wengine wanasema alikuwa anawasimulia na waandika ndiyo ikawa Quran.
Wewe ni mshia au ni msuni?
 
Basi leta hapa Quran ya karne ya 7 hata kurasa noja

Zipo Tena za kabla ya Yesu ,karne ya 7 si juzi tu hapa ,

Biblia ya kabla hata Yesu hajaja ipo , SEPTUAGINTA LXX ipo toka mwaka 300BC .

NILETEE hata kipande cha Quran ya karne ya 7 ,nakuwa muislamu Leo Leo
View attachment 3541649
Alafu unashindwa kuuelewa biblia ni MAANDIKO ya watu,simulizi za watu waliokaa wakatafuta historia wakaandika.hilo ni sawa na gazeti .
 
Aya zote sura zote zilishishwa mtume akiwepo.
Kabla ya kuandikwa kwenye magome ya miti na ngozi za wanyama Quran ilikuwa inahifadhiwa moyoni.
Ndo maana mtume alikuwa hajui kusoma Wala kuandika.hii ilikuwa ni point ya kuwafunga midomo watu kama nyie
Basi leta hapa Quran ya karne ya 7 hata kurasa noja
 
Kwanini ukiacha uislamu unakatwa kichwa? Hizo nchi zote za kiislamu zingekuwa na uhuru wa kuabudu watu wangeacha uislamu maana kuna nchi za kiiislamu watu wanataka kuachana nao lakini wanaogopa mateso, kuuwawa na hata kunyang'anywa mali zao.

Huyo hana amani moyoni, anajaribu kuitafuta kupitia kujaribu kujiaminisha kuwa alikuwa sahihi kuritadi. Unfortunately moyo wake umekataa kumpa utulivu. Atapambana sana dhidi ya uislamu lakini yeye ataondoka kama vile sote tutakavyoondoka na uislamu utabaki ukishamiri.
 
Historia ya Muhammad alikuwa hajui kusoma na kuandika mpaka anakufa. Sasa hiyo wahyi alikuwa anatumia kifaa gani kusoma na wanaandika?
Nimewauliza waislamu wengi wanatofautiana katika suala la Quran kushushwa. Wengine wanasema Quran ilishushwa na wengine wanasema Muhammad alikuwa anawasomea na wengine wanasema alikuwa anawasimulia na waandika ndiyo ikawa Quran.
Wewe ni mshia au ni msuni?
Wewe kusoma unajua ni kutoka kwenye physical object tu, Muhammad alishushiwa ufunuo(wahyi) kwa kusomeshwa na malaika akifuatisha asemacho, kisha Muhammad kwa kuwa hakujua kusoma wala kuandika anawatamkia huo wahyi na kuwataka waandike,akimaliza anawaambia wamsomee Ili ahakikishe kilichoandikwa ndicho
وَقَالُوا أَسَاطِيرُ الْأَوَّلِينَ اكْتَتَبَهَا فَهِيَ تُمْلَىٰ عَلَيْهِ بُكْرَةً وَأَصِيلًا
Na wakasema: Hivi ni visa vya watu wa kale alivyo viandikisha, anavyo somewa asubuhi na jioni.(Quran 25:4-5)
 
Muache kuwaua wanaochoma Quran. Kumbe haka kamchezo alikaanza Caliph Uthuman😂😂
Siamini sana historia ya Islamic figures sababu kuna characterizations,lakini kwa historia hiyohiyo huyo uthman alikua mpole mno hawezi kuua hata nzi halafu tajiri, alikua msomaji mzuri wa Quran, hawezi choma mtu moto
 
Unanipa Aya kwenye Quran ambayo ina miaka 100 tu ,

NILETEE AYA kwenye Quran ya karne ya 7

Ninachojua Calipha Uthman alichoma moto Quran zote ndio maana hakuna Quran hata kipande cha ukurasa ya karne ya 7View attachment 3541655
Uthman utawala wake bado palikuwepo na watu walioishi na mtume akiwemo binam yake Ali achilia mbali maswahaba, walikua wengi mno, Quran isingekua imepotea kiasi hicho ndani ya miaka 13 toka kifo cha mtume,tafuta uwongo mwingine
 
Sasa kinachofanya kusiwepo nakala hata ya kipande cha kurasa moja cha karne ya 7 ni nini?
 
Huyo hana amani moyoni, anajaribu kuitafuta kupitia kujaribu kujiaminisha kuwa alikuwa sahihi kuritadi. Unfortunately moyo wake umekataa kumpa utulivu. Atapambana sana dhidi ya uislamu lakini yeye ataondoka kama vile sote tutakavyoondoka na uislamu utabaki ukishamiri.
Wewe dawa imekuingia ,

Mimi unavyoniona toka mdogo ni mdadisi ,nimetoka kwenye uislamu sio kwa kukurupuka ,nimetoka baada ya MASHEIKH kushindwa kujibu maswali ,huku wakinidanganya wazi wazi

Nimeanza mijadala nikiwa mdogo,

Nilitegemea ujikite kwenye mada niliyoweka upaparuke ,cha ajabu unalalamika
 
Yesu ni Mungu au mwana wa Mungu?.. alisema wapi?
 
Back
Top Bottom