barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Kamati ya Utendaji ya Taifa ya Chama Cha Wananchi (CUF) leo imeanza kikao chake cha siku mbili mjini Zanzibar chini ya Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad.
Kikao hicho kitaandaa ajenda kwa ajili ya Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama litakalokutana kwa siku mbili tarehe 2 - 3 April, 2016 na kutoa mwelekeo wa Chama kuhusiana na hali ya kisiasa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ujumla.