Kamati Kuu ya CHADEMA kufanyia vikao kwenye hoteli za kitalii limulikwe

Ikumbukwe kuwa chadema ina makao makuu pale mitaa ya ufipa na chama kinatumia zaidi ya milioni 30 kwa mwezi kama kodi ya pango kwenye nyumba hiyo.

Pamoja na kwamba makao makuu ya chama yapo ,lakini kamati kuu ya chadema wamekuwa na tabia ya kufanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii zinazogharimu mamilioni ya dola!

Kuna taarifa kuwa hoteli wanayofanyia kikao chadema inagharimu zaidi ya dola 200 kwa saa!! Haya ni matumizi ya hovyo ya ruzuku ya chama ikizingatiwa ruzuku haitumwi mikoani na wilayani kwa kisingizio kuwa ni ndogo!!

Chadema wakiwa wanatumbua hovyo ruzuku ya chama kwa upande wa ccm wamebadilika kabisa. Ccm ambao wamekuwa wakituhumiwa kwa ufisadi lakini sasa vikao vyao wanafanyia kwenye viwanja vya ikulu au pale ofisi ndogo ya Lumumba ili kuokoa fedha za ruzuku ambazo zinatumwa mikoani na wilayani kwenda kujenga chama..

Inaumiza mno chadema tuliyoitegemea iwe mbadala wa ccm, kufanya ufisadi wa kutisha kuliko hata hiyo ccm!!.

ccm inafanyia vikao vyao makao makuu yake?
 
Chadema wameacha kufanyia kikao kwenye banda la ufipa , wameenda kufanyia kwenye five star hotel ambayo wanalipa dollar 200 kwa saa.!!!

Kwa nn bavicha msihoji haya??

kwaiyo wao hawana matajiri wa kuwadhamini, au what if mwenye hotel ikiwa amewapa jengo bure? Huo ni wivu wa kitoto sio kila kitu lazima mwanainchi ajue,
 
Wameshindwa kuchangia wahanga wa Ukara, hawa wanathamini wananchi kipindi cha kupiga kura tu
 
Ccm wanafanyia vikao vyao magogoni ili wakamue chai ya maziwa ya bure kwa Kodi za watanzania...
 
Ikumbukwe kuwa chadema ina makao makuu pale mitaa ya ufipa na chama kinatumia zaidi ya milioni 30 kwa mwezi kama kodi ya pango kwenye nyumba hiyo.

Pamoja na kwamba makao makuu ya chama yapo ,lakini kamati kuu ya chadema wamekuwa na tabia ya kufanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii zinazogharimu mamilioni ya dola!

Kuna taarifa kuwa hoteli wanayofanyia kikao chadema inagharimu zaidi ya dola 200 kwa saa!! Haya ni matumizi ya hovyo ya ruzuku ya chama ikizingatiwa ruzuku haitumwi mikoani na wilayani kwa kisingizio kuwa ni ndogo!!

Chadema wakiwa wanatumbua hovyo ruzuku ya chama kwa upande wa ccm wamebadilika kabisa. Ccm ambao wamekuwa wakituhumiwa kwa ufisadi lakini sasa vikao vyao wanafanyia kwenye viwanja vya ikulu au pale ofisi ndogo ya Lumumba ili kuokoa fedha za ruzuku ambazo zinatumwa mikoani na wilayani kwenda kujenga chama..

Inaumiza mno chadema tuliyoitegemea iwe mbadala wa ccm, kufanya ufisadi wa kutisha kuliko hata hiyo ccm!!.
Kama upo ukumbini tueleze yanayojiri
 
Ccm wanafanyia vikao vyao magogoni ili wakamue chai ya maziwa ya bure kwa Kodi za watanzania...
Tunasubiri mchango wenu kwa wahanga wa ajali na waliofariki. Mbunge wenu msimtenge kwa vile hatokei kanda ya Kaskazini!!! Kesho akirudi CCM mtapayuka kuwa kanunuliwa kama kawaida yenu
 
Wacha wakuu wa chama wafaidi, nyie wa mikoani endeleeni kuvuta subra ruzuku iko kidunchu
 
Ikumbukwe kuwa chadema ina makao makuu pale mitaa ya ufipa na chama kinatumia zaidi ya milioni 30 kwa mwezi kama kodi ya pango kwenye nyumba hiyo.

Pamoja na kwamba makao makuu ya chama yapo ,lakini kamati kuu ya chadema wamekuwa na tabia ya kufanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii zinazogharimu mamilioni ya dola!

Kuna taarifa kuwa hoteli wanayofanyia kikao chadema inagharimu zaidi ya dola 200 kwa saa!! Haya ni matumizi ya hovyo ya ruzuku ya chama ikizingatiwa ruzuku haitumwi mikoani na wilayani kwa kisingizio kuwa ni ndogo!!

Chadema wakiwa wanatumbua hovyo ruzuku ya chama kwa upande wa ccm wamebadilika kabisa. Ccm ambao wamekuwa wakituhumiwa kwa ufisadi lakini sasa vikao vyao wanafanyia kwenye viwanja vya ikulu au pale ofisi ndogo ya Lumumba ili kuokoa fedha za ruzuku ambazo zinatumwa mikoani na wilayani kwenda kujenga chama..

Inaumiza mno chadema tuliyoitegemea iwe mbadala wa ccm, kufanya ufisadi wa kutisha kuliko hata hiyo ccm!!.
Vipi na wale wa kijani kufanyia ofisi ya serikali white house wakati ni kosa?
 
Wakati mwingine uachage umburura. Hivi mtukufu si alipiga marufuku kutoza gharama kwa foreign currency au!?

Afu hiyo ya kodi ya 30M wapi iliwahi kutamkwa!? Hvi unaifahamu kweli nyumba inayolipiwa kodi kubwa namna hiyo kwa mwezi? Hata kama umelipwa buku7 jitahidi kuweka uongo unaofanania na ukweli japo kidogo
 
Inawezekana hiyo pesa si ya ruzuku watu wamejitolea. Hata kama ni ruzuku, hiyo ni kazi ya CAG. Kumbuka kuwa polisi wana tabia ya kuvamia vikao vya CHADEMA, kwenye hotel I wanaogopa. Kama una huruma na ruzuku, ofisi za CHADEMA haziwezi kutosha vikao vikubwa
 
Swala la CCM kufanyia vikao vyake ikulu bila kujali tuliite je? Unachoona ni CDM kumulikwa, utatumia taa au mshumaa kuwamulika?
 
10% ya Sultan Mbowe inapatikana Kwa njia hiyo

Analipia Conference package Kwa bei ya juu Sana Halafu Baada ya Vikao anarudi bahari beach bila ya Magwanda Kama Freeman Mtoto wa Mjini anakunja mpunga Maisha yanaendelea
Porojo za kuvutia bk7.
 
Wakati mwingine uachage umburura. Hivi mtukufu si alipiga marufuku kutoza gharama kwa foreign currency au!?

Afu hiyo ya kodi ya 30M wapi iliwahi kutamkwa!? Hvi unaifahamu kweli nyumba inayolipiwa kodi kubwa namna hiyo kwa mwezi? Hata kama umelipwa buku7 jitahidi kuweka uongo unaofanania na ukweli japo kidogo
Wewe kama bavichaaa unajua kodi ya banda lenu la ufipa?
 
Inawezekana hiyo pesa si ya ruzuku watu wamejitolea. Hata kama ni ruzuku, hiyo ni kazi ya CAG. Kumbuka kuwa polisi wana tabia ya kuvamia vikao vya CHADEMA, kwenye hotel I wanaogopa. Kama una huruma na ruzuku, ofisi za CHADEMA haziwezi kutosha vikao vikubwa
Utetezi wa kipuuzi kabisa,

Polisi wavamie makao makuu ya chadema ufipa?
 
Back
Top Bottom