Kamati Kuu ya CHADEMA kufanyia vikao kwenye hoteli za kitalii limulikwe

CHADEMA wanaona heri kuwachangisha wanachama wao pango za nyumba za chama na kuchangisha wabunge wao kila mwezi ili hali viongozi wakitumbua fedha za ruzuku na kugawana posho na kila siku Mwenyekiti akidai madai yasiyoisha kwa manufaa yake.
 
Inasikitisha mno mkuu
 
Ikumbukwe kuwa chadema ina makao makuu pale mitaa ya ufipa na chama kinatumia zaidi ya milioni 30 kwa mwezi kama kodi ya pango kwenye nyumba hiyo.

Pamoja na kwamba makao makuu ya chama yapo ,lakini kamati kuu ya chadema wamekuwa na tabia ya kufanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii zinazogharimu mamilioni ya dola!

Kuna taarifa kuwa hoteli wanayofanyia kikao chadema inagharimu zaidi ya dola 200 kwa saa!! Haya ni matumizi ya hovyo ya ruzuku ya chama ikizingatiwa ruzuku haitumwi mikoani na wilayani kwa kisingizio kuwa ni ndogo!!

Chadema wakiwa wanatumbua hovyo ruzuku ya chama kwa upande wa ccm wamebadilika kabisa. Ccm ambao wamekuwa wakituhumiwa kwa ufisadi lakini sasa vikao vyao wanafanyia kwenye viwanja vya ikulu au pale ofisi ndogo ya Lumumba ili kuokoa fedha za ruzuku ambazo zinatumwa mikoani na wilayani kwenda kujenga chama..

Inaumiza mno chadema tuliyoitegemea iwe mbadala wa ccm, kufanya ufisadi wa kutisha kuliko hata hiyo ccm!!.
Hivi hiki ndio kinaitwa kiherehere?
 
10% ya Sultan Mbowe inapatikana Kwa njia hiyo

Analipia Conference package Kwa bei ya juu Sana Halafu Baada ya Vikao anarudi bahari beach bila ya Magwanda Kama Freeman Mtoto wa Mjini anakunja mpunga Maisha yanaendelea
Pale Ikulu mkiwa na vikao venu pia uwa mnafanya hivyo........
 
Ikumbukwe kuwa chadema ina makao makuu pale mitaa ya ufipa na chama kinatumia zaidi ya milioni 30 kwa mwezi kama kodi ya pango kwenye nyumba hiyo.

Pamoja na kwamba makao makuu ya chama yapo ,lakini kamati kuu ya chadema wamekuwa na tabia ya kufanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii zinazogharimu mamilioni ya dola!

Kuna taarifa kuwa hoteli wanayofanyia kikao chadema inagharimu zaidi ya dola 200 kwa saa!! Haya ni matumizi ya hovyo ya ruzuku ya chama ikizingatiwa ruzuku haitumwi mikoani na wilayani kwa kisingizio kuwa ni ndogo!!

Chadema wakiwa wanatumbua hovyo ruzuku ya chama kwa upande wa ccm wamebadilika kabisa. Ccm ambao wamekuwa wakituhumiwa kwa ufisadi lakini sasa vikao vyao wanafanyia kwenye viwanja vya ikulu au pale ofisi ndogo ya Lumumba ili kuokoa fedha za ruzuku ambazo zinatumwa mikoani na wilayani kwenda kujenga chama..

Inaumiza mno chadema tuliyoitegemea iwe mbadala wa ccm, kufanya ufisadi wa kutisha kuliko hata hiyo ccm!!.
Kwanza mkuu tujiulize kile kibanda cha cdm pale ufipa ni cha kulipa 30 milioni kwa mwezi?? Mh hata kama hatujasoma lakini si kwa kodi hiyo kwa kale kakibanda pale, halafu huwa cdm wanatupia takwimu humu kua pale ufipa kuna zaidi ya wafanyakazi 30 sasa kwann wasitumie hapo kwa mikutano? Ingawa tunajua kukodi hotel kufanyia mikutano wazee wa saccos ya kaskazini kuna kuwaga na kampango flani kanarudi mifukoni ndio maana mnapenda sana outpost afande mugabe najua mambo yetu yanarudigi ila sio ndo uwe mtindo sasa wa kutumbua kodi zetu halafu mbona hata xmass bado haijakaribia kuanza kuhifadhi vi chenji vya malipo ya hotel...kodi zetu zinauma jaman
 
wangepewa ukumbi ikulu kama walivyofanya ccm..
ila hili ni gumu kuwezekana maana kile kiwizard kisichohudhuria misiba kinatambika..
 
Ikumbukwe kuwa chadema ina makao makuu pale mitaa ya ufipa na chama kinatumia zaidi ya milioni 30 kwa mwezi kama kodi ya pango kwenye nyumba hiyo.

Pamoja na kwamba makao makuu ya chama yapo ,lakini kamati kuu ya chadema wamekuwa na tabia ya kufanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii zinazogharimu mamilioni ya dola!

Kuna taarifa kuwa hoteli wanayofanyia kikao chadema inagharimu zaidi ya dola 200 kwa saa!! Haya ni matumizi ya hovyo ya ruzuku ya chama ikizingatiwa ruzuku haitumwi mikoani na wilayani kwa kisingizio kuwa ni ndogo!!

Chadema wakiwa wanatumbua hovyo ruzuku ya chama kwa upande wa ccm wamebadilika kabisa. Ccm ambao wamekuwa wakituhumiwa kwa ufisadi lakini sasa vikao vyao wanafanyia kwenye viwanja vya ikulu au pale ofisi ndogo ya Lumumba ili kuokoa fedha za ruzuku ambazo zinatumwa mikoani na wilayani kwenda kujenga chama..

Inaumiza mno chadema tuliyoitegemea iwe mbadala wa ccm, kufanya ufisadi wa kutisha kuliko hata hiyo ccm!!.
Kwahiyo humu ni polisi?!
 
Back
Top Bottom