Kamati Kuu ya CCM yawapitisha Job Ndugai, Dkt. Tulia Mwansasu na Abdullah Mwinyi kugombea Uspika

Ina maana CHEO CHA UANASHERIA MKUU MSAIDIZI NI HAKIMTOSHI
KUMBE WANASHERIA WETU NI WANASIASA DUUH
AU AG OFFICE MISHAHARA MIDOGO
ASEE HII INATOKEA TANZANIA HII KAMA YA YULE JAJI HALAFU ANATAKA KUGOMBEA URAIS HII. IMEKAAA VIBAYA ASEE
SERIKALI IWALIPE MILION MIA 300 HAO AG NA MSAIDIz wake

Mbona yule NANILUU MSTAHAFU ALIKUA ANALIPWA 400M

Hiyo siyo ajabu unaweza kua CCM mchana kesho asubuhi kiti maalum CDM
 
Kama kuna kosa tunapaswa kulijutia ni kuiacha ccm ikapata viti vya kulidhibiti bunge, ni kilio kwa Taifa, wanayemtaka wao ndio atakayepita na huu mchezo unaonekana umeshapangwa, nafasi ya naibu mwanasheria mkuu wa serikali aliyonayo huyo bidada ina maslahi mazuri tu, sasa jiulize ushujaa huo wa kugombea uspika kautowa wapi wakati tayari ana ajira nzuri tu? kuna kigogo anapiga dudu hapo.
Hamna haja ya kujuta mkuu kwani nna uhakika kwa hali halisi hao wenye viti vya kudhibiti bunge sio chaguo la wapiga kura.Sema suluhisho ni moja tu: katiba na tume huru ya uchaguzi.
 
Naomba Job Ndugai apite. CCM ina nibore sn, yaani serikali ya JK Wazri wa Ulinzi/Afya-Mwinyi, Balozi-Mwinyi, BoT-Mwinyi , Viti Maalum-Mwinyi, Speaker-Mwinyi daah! Wameisadia Tz kwa lipi?
 
Naomba Job Ndugai apite. CCM ina nibore sn, yaani serikali ya JK Wazri wa Ulinzi/Afya-Mwinyi, Balozi-Mwinyi, BoT-Mwinyi , Viti Maalum-Mwinyi, Speaker-Mwinyi daah! Wameisadia Tz kwa lipi?
Usultani umesharudi japo kimgongo mgongo. Hovyo kabisa!
 
Huyu mama mbona kama mtupu sana!! Kuwa dean of Faculty of law hakumpambanui kama ni mtu mzuri!
Faculty of law imetoa wasomi wanawake wa hovyohovyo e.g Asharose ambaye naye alikuwa mzuri tu!

Mwanadada Halima Mdee japo alitoka kitivo kikawaida lakini sio kama hawa kina Ntulia na Asharose!!

Mind you, unapozungumzia dhana ya kuwa mkuu wa kitivo na au ametoka vizuri kitivoni pia ujikite katika mfano wa Asharose ambaye hajawahi kuwa na jipya ndani ya nchi hii achilia mbali cheo cha naibu katibu mkuu wa U. N!

Nina mashaka sana na huyu mama!! Kwanza hana maadili ya kazi maana kuwa mtumishi wa umma kwenye wadhifa wa A. G then ukajivika ukada ni uhuni!!
 
Kama kuna kosa tunapaswa kulijutia ni kuiacha ccm ikapata viti vya kulidhibiti bunge, ni kilio kwa Taifa, wanayemtaka wao ndio atakayepita na huu mchezo unaonekana umeshapangwa, nafasi ya naibu mwanasheria mkuu wa serikali aliyonayo huyo bidada ina maslahi mazuri tu, sasa jiulize ushujaa huo wa kugombea uspika kautowa wapi wakati tayari ana ajira nzuri tu? kuna kigogo anapiga dudu hapo.
Wengi tulisema kuwa urais haiwezekani kuiondoa CCM kwa sasa na nguvu nyingi zielekezwe kwenye ubunge na udiwani. Imagine kama mapenzi mahaba yangekomaa na wabunge jimbo kwa jimbo. Ingekuwa rahisi hata kupata hayo madai mengine mf. Katiba nzuri na tume huru ya uchaguzi. Sasa mikataba mibovu itaendelea kupita kwa yale makelele ya ndiyoooooo bila wasiwasi wo wote. Poor strategy na tamaa za viongozi. Upinzani Tanzania bado sana!
 
job ndugai wakati anakuwa spika alikuwa na uzoefu gani!!!huyu dada anamzidi elimu hata sitta!alikuwa naibu mwanasheria mkuu!!bado ni muhadhiri udsm!!!manyumbu bwana!!
 
Samuel Sitta kupigwa mweleka hii ni habari njema kwa nchi.Taifa lisiruhusu watu wa hovyo wasiojitambua.
 
CCM ni walewale,ila hii 3 bora yao siyo mbaya....Ndugai akiweka uchama pembeni anao uwezo na uthubutu wa kulisimamia bunge kwa maslahi mapana ya Taifa,,,japo wanaonekana hawana experience sana,ila Tulia na Mwinyi wanao weledi wa kunyumbulika na Bunge la 11.....hapa CCM wamejitahidi
 
Lowassa ndiye atakae amua nani awe spika wa bunge la 11 (hamtaamini kitakacho tokea)
 
Yuko vizuri kiasi
Nimempenda kuwa sio mwanasiasa kiviiiiile mana wanasiasa huwa hawachelewi kutanguliza siasa kuliko utendaji.
 
Acha kudanganya watu, Zitto kasoma Economics siyo Sheria. Chuo siyo kama Primary eti first yr wote mnajuana na wafanyakazi wote wa chuo unawafahamu.

Ww sema Zitto kamfahamu majuz juz tu. Huenda ungesema Albert Msando, T. Lissu nk

Wewe kweli hamnazo wakati nipo mwaka kwanza Bcom zito yupo mwaka wa pili economics tulifahamiana vipi?maisha ya chuo si lazima watu muwe mwaka mmoja au course sawa ndio mfahamiane bali ni common interest kuna watu wanaweza kuwa na vyeti feki but si aina ya Dr.Tulia mtu yeyote alimaliza pale na chuo kikakubakisha pale anajua fika kuwa na vyeti feki ni ngumu.
 
Dullah kawekwa ili kukamilisha utaratibu ila spika anajulikana, wangethubutu kumpitisha Nchimbi na wengine basi mtandao ungeamua kupitia kura na mamluki angewanyoosha ccm, sasa waliobaki ni pure ccm na Dullah anajua yeye hata akiwekwa na mpinzani hashindi na hatapitishwa kabisaaa

Kawekwa Abdallah ili kukata kidomo domo cha wa zn kuwa hawajawah kuteuliwa kugombea nafasi hiyo.Nimefurahi sana kuachana na wanamtandao Lowassa, sitta na Nchimbi kwaherini ya kuonana
 
Kama kuna kosa tunapaswa kulijutia ni kuiacha ccm ikapata viti vya kulidhibiti bunge, ni kilio kwa Taifa, wanayemtaka wao ndio atakayepita na huu mchezo unaonekana umeshapangwa, nafasi ya naibu mwanasheria mkuu wa serikali aliyonayo huyo bidada ina maslahi mazuri tu, sasa jiulize ushujaa huo wa kugombea uspika kautowa wapi wakati tayari ana ajira nzuri tu? kuna kigogo anapiga dudu hapo.

.....ni kigogo yupi huyo anaepiga dudu mkuu??....naona pia kwenye list kuna jina la mtoto wa Mzee mwinyi....awa jamaa bado wanaendeleza "nepotism"pamoja na kupigiwa kelele mno kwenye utawala ulioondoka....Ngoja tusubiri uteuzi wa mawaziri....kuona pia ni watoto gani wa vigogo watakuwemo....hawa ccm na 'nepotism' imekua ni gonjwa lisilopona...
 
Back
Top Bottom