Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,385
- 68,490
Haya mambo ya kamati kuu yameanza kitambo sanaKamati kuu ya fitna tupu ndio wameifikisha Tanzania hapa.
Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM mwaka 1986
Kutoka kushoto: Kingunge, Maalim Seif, Idris Abdul Wakil, Ali Hassan Mwinyi, Jk Nyerere na Rashid Mfaume Kawawa.
Kipi Cha Kujifunza?Kuna chakujifunza kutoka kwenye Picha hii
Naam kipo kikubwa saaana cha kujifunza kutokana na hii picha.Kuna chakujifunza kutoka kwenye Picha hii
Kivipi mkuu?Kamati kuu imeizamisha MCC
Nyumbu wa mikumi na nyumbu wa Serengeti wote ni nyumbu tu kama wewe.Kamati kuu haina budi kuwepo sababu wakati mwingine nchi hujikuta ina wapumbavu wengi zaidi ya wenye akili kama uchaguzi wa mwaka ulopita ulivodhihirisha. Sasa ili kusaidia hao wapumbavu wengi wasidanganywe na maneno ya wajanja inabidi kamati kuu ifanye kazi on behalf of them.
Ndio matokeo yake sasa tunae raisi chaguo la Mungu.
Na kamati inapaswa undwa na wazee wazalendo wanojulikana wasio na interest na cha kupoteza.
Hence, kamati kuu haina budi kuwapo.