assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
The Boss fukuto likizidi watu hutoka mafichoni...mambo yameshaanzaWakati wa Kenyatta kulikuwa na mtu very powerfull anaitwa Njonjo....
huyo aliwahi mzaba vibao makamu wa Rais Daniel Arap Moi...
na alijua Moi hata akiwa Rais ataendelea tu kuwa na nguvu....
baba yake alimwambia hebu jaribu kumpa paka kipande cha nyama halafu jaribu kumnyan'ganya...
Kamati kuu sasa na wao wajaribu hilo kama wanafikiri wataweza......
Wakati wa Kenyatta kulikuwa na mtu very powerfull anaitwa Njonjo....

Hata alichosema Nape uzi ni kama kumponda Magufuli na 'hapa kazi tu'
alisema kama wafanyakazi hawapewi vifaa vya kazi huwezi kusema tu hapa kazi tu
Assadsyria hajavuta bangi bali kachanganyikiwa kwamkukosa madaraka ndani ya utawala wa Magufuli. Asubiri kwani nafasi bado zipoWewe umevuta bangi ya wapi.?
Hauna fukuto loloteFukuto lishaanza kukolea
mtahangaika sana mtasema sana ccm wapo kwenye mchakato mkali sana wa kuwachunguza kwa makini na ukaribu zaidi wale ccm mchana usiku chadema.
mtoa mada usiokote maneno ya kwenye vijiwe vya vimburu utaonekana mjinga
Kupambana na wakwepa kodi unapaswa kuwa na roho ngumu kama ya Magufuli. Si kila mtu ana ujasiri huo
Hauna fukuto lolote
Ni wazi kamati kuu ndani ya CCM ikiwa chini ya JK haina furaha. siamini hii kamati haijui role ya hawa wafanyabiashara wakwepa kodi. hapa tunapigwa changa la macho CCM inatumia billions kwenye kumweka rais na wabunge hivi unazani zinatoka wapi? inaitwa give &return.
sasa mh magufuli sidhani kama hajui haya, kiukweli anadisplay udhaifu wa kamati kuu chini ya kikwete.
kamati kuu CCM haina furaha.
mfano; " kunawatu wanamsingizia hata mwanangu juu MTU kukwepa kodi, hizo ni siasa za majitaka za wapinzani,wamwache magufuli afanye kazi"" by kikwete.
pia kamati kuonya mh asichukue hatua kwa majungu afanye uchunguzi kabla jipu kutumbuliwa.
Argue,don't shout!