ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Tuwekee majina ya wajumbe wa Kamati Kuu tuwajue,,isije ikawa wote wanatoka Kilimanjaro
Pole sana, Kama wewe ni makini fanya uchunguzi wako upate na utangaze majibu yako. Utamsaidia hata aliekupasha UONGO. Karibu TENA