Kamati Kuu CHADEMA kukutana leo

Kamati Kuu CHADEMA kukutana leo

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo inakutana leo jijini Dar es Salaam.

Agenda mbalimbali zinatarajiwa kujadiliwa na tunawaahidi kuwaletea yote yatakayoamuliwa ikizingatiwa yale yaliyotokea katika Bunge Dodoma na uchaguzi mkuu unaokaribia.

Stay Tuned!
 
Tuwekee hao wako wa act ccm kama wote hawatoke kigoma. Au hao wa pure cccm kama sio waisilamu wote.

Mkuu sikuzote mtu mjinga asiyejitambua hujadiri ukabila na udini bila kujadiri uwezo wa mtu,huyo nae usishangae ukisikia kwamba amewahi kuhudhuria chuo mana siamini kama kuna msomi mpuuzi hivyo anayehoji upuuzi na kiukweli umemjibu sahihi.Mie nimzaliwa wa Kigoma na kiukweli Chama chetu cha Kigoma kimejaa sura hizo mbili
 
Ajenda ni kujadili maendeleo mkoa wa Kilimanjaro
 
Achaneni na wazee wa vitaru kwanza wanawatumia ndivyo sivyo
 
Kicoba cha mzee Mtei kinakaa kujadili madeni na marejesho.
 
Kila la kheri kwa makamanda na tupo nyuma yao
 
Tuwekee hao wako wa act ccm kama wote hawatoke kigoma. Au hao wa pure cccm kama sio waisilamu wote.

Tumia akili ya kiutu uzima jenga hoja Ki siasa acha kuingilia mambo ya kidini kwani waisilam wamehusika vipi katika hoja yako acha upuuzi mkuu
 
Tumia akili ya kiutu uzima jenga hoja Ki siasa acha kuingilia mambo ya kidini kwani waisilam wamehusika vipi katika hoja yako acha upuuzi mkuu

Ulitaka ajenge hoja ipi katika uharo mnaohara hapa?
 
Nakerwa sana na tabia ya kususia vikao sjui tuliwachaguwa kukimbia vikao au kutusemea wananchi, ni wapaze sauti kuliko ili tuwasikie kuliko kukimbia kimbia kila siku.
 
Nakerwa sana na tabia ya kususia vikao sjui tuliwachaguwa kukimbia vikao au kutusemea wananchi, ni wapaze sauti kuliko ili tuwasikie kuliko kukimbia kimbia kila siku.

Nakerwa sana kichwa nazi kama hiki kinachotembelea jf
 
Back
Top Bottom