Kamata Mwizi Meen!

JF2050

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
2,085
44
Hii ilitakiwa iwe jukwaa la Gadgets lakini humu kuna wahanga sana itawasaidia.

Kwa wale mliochoka kudanganywa na wake/waume, wapenzi wenu: mara oh nipo ofisini, sijui nina safari ya kikazi kwenda London, Paris, South Africa, etc., kumbe mtu yupo Sinza, Kinondoni au Buguruni! Dah!

Sasa mfanyie surprise anayependa kukudanganya kwa kumnunulia android phone, halafu unaenda Google Play unasync his/her tracks na simu yako (android). Utapata taarifa zote za mwenendo wake live bila chenga: Mahali, muda, anatembea, anakimbia, anabinuana, milio anayofanya, etc.,

Kwa maelezo zaidi soma: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.google.android.maps.mytracks&hl=en

My Tracks records your path, speed, distance, and elevation while you walk, run, bike, or do anything else outdoors. While recording, you can view your data live, annotate your path, and hear periodic voice announcements of your progress.

With My Tracks, you can store your tracks with Google Drive, Google Maps, Google Fusion Tables, or Google Spreadsheets, or export your tracks to external storage. With Google Drive, you can also sync your tracks, share tracks with friends, and see the tracks your friends have shared with you. With Google Maps, you can share the map url with friends via Google+, Facebook, Twitter, etc. With export to external storage, you can select GPX, KML, CSV, or TCX format.

My Tracks uses the GPS sensor in your device to record geographic and velocity statistics, but the app also syncs with third-party biometric sensors, including:
- Zephyr HxM Bluetooth heart rate monitor
- Polar WearLink Bluetooth heart rate monitor
- ANT+ heart rate and speed distance monitors (these require an ANT+ compatible phone)

My Tracks is an open source project. If you like to contribute, please visit:
https://code.google.com/p/mytracks
 
naona unampango wa kuongeza idadi ya wagonjwa wa pressha.
Hayo mambo yaache kama yalivo bana.
 
Kama mpigwaji atapigwa tu hata akiosha vyombo usiku,
Kuna jamaa yangu anaitwa Idd alikuwa nymbani usiku wa saa 2 akisubiri ugali ukisongwa na mkewe nje ya nyumba, ukaanza kuungua kwenda kuchungulia Mke hayupo. kuzunguka ukuta hamadi mke kashikishwa ukuta
My Take mke akigundua ndi atakaa mbali na simu na kwenda Guest hata km 100
 
Safi sana!ila inatakiwa na app ya ku hide GPS mwenye simu asijue kama ipo on
 
naona unampango wa kuongeza idadi ya wagonjwa wa pressha.
Hayo mambo yaache kama yalivo bana.

Trick two ni serious zaidi: Unadaka password zote za mpenzi wako na kurekodi kila kitu anachofanya kwenye internet: Kama hivi:

2012-08-27 20:43:11+0300 > www.jamiiforums.com
2012-08-27 20:45:10+0300 > <LCtrl>a<LCtrl><LAlt>t<Up><Up><Up><Down>Mwigulu>_Chemba
2012-08-27 20:46:54+0300 > <LCtrl><LAlt>t<Up><Up><Up><Up><Up><BckSp><#+3><pwd>CDMpasuakichwa
2012-08-27 20:47:35+0300 > <Up><Left><#+22><Left><BckSp><BckSp><BckSp><BckSp><BckSp>ksudo <>Pm msgs
2012-08-27 20:48:09+0300 >Napeee, Tufanyeje?, maana hawa Chad<BckSp>ema<BckSp>wametushika pabaya! <Nipo AR
2012-08-27 20:48:15+0300 > <Up><Left><#+2><Left><BckSp><BckSp><BckSp><BckSp><BckSp><BckSp>

2012-08-27 20:48:29+0300 > <BckSp><BckSp>2012<BckSp>www<LCtrl><LAlt>t<Up><Left><#+25><Right><Right><BckSp>Honey<BckSp>mme wangu leo hayupo!<BckSp><BckSp><BckSp>Nikutafute!<BckSp><BckSp><BckSp><BckSp>
2012-08-27 20:56:14+0300 > <Up><Left><#+18><Left><Left><#+13><Right><Right><BckSp><BckSp><BckSp><BckSp><BckSp>sudoedit<> /var/log
2012-08-27 20:56:33+0300 > fraisei
2012-08-27 20:56:41+0300 > <LCtrl>www.facebook.com<>
2012-08-27 21:25:49+0300 >
2012-08-27 22:29:46+0300 >
2012-08-27 22:31:26+0300 > <BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<LCtrl>asudoedit /skp/save
2012-08-27 23:22:08+0300 > Unajua nakuzimia!
2012-08-27 23:22:17+0300 > <Right><#+18><Right><#+62><BckSp><BckSp><BckSp><Up><#+29><Up><#+16><Up><#+12><Up><#+11><Up><#+18><Up><#+9><LCtrl><LAlt>t
2012-08-27 23:39:34+0300 > <Up><#+19><Up><#+11><Up><#+14>
2012-08-27 23:40:27+0300 > www <BckSp><BckSp><Up><.twitter.com><>
2012-08-27 23:40:35+0300 > <Up><#+25><Up><#+9><Up><#+20><Up><#+12><Up><#+15><Up><#+12><Up><#+14><Up><#+9><Up><#+10><Up>
2012-08-27 23:41:38+0300 > Missing you so much!
2012-08-27 23:41:44+0300 > <LCtrl><LAlt>tmysql<#+1>Since that sex ......, u know!

Unaweza kurekodi mpaka screenshots! Hii ni kwenye simu, PC au laptop! Chezea Technolojia weye!
 
Kama mpigwaji atapigwa tu hata akiosha vyombo usiku,
Kuna jamaa yangu anaitwa Idd alikuwa nymbani usiku wa saa 2 akisubiri ugali ukisongwa na mkewe nje ya nyumba, ukaanza kuungua kwenda kuchungulia Mke hayupo. kuzunguka ukuta hamadi mke kashikishwa ukuta
My Take mke akigundua ndi atakaa mbali na simu na kwenda Guest hata km 100

Utakuwa mzembe sana kama akigundua!
 
Hiyo namba mbili inafanywa kwa kutumia code/script/program. Kama huelewi maana yake nini mwuulize CTO.
 
Teknolojia ni nzuri, ila nafikiria tu kuwa hizo emails na SMS za mtu ni kitu private, sina hakika kama ni sawa kisheria kuiba information za mtu bila ridhaa yake. Maana kwa hack password yake, utasoma si tu mahusiano yenu au yake na watu wengi, bali pia mpaka mambo yake ya kifamilia, ndg zake, mahusiano yao, mikopo kama anayo, nk jambo ambalo sidhani kama ni la kiungwana.
 
Hii ilitakiwa iwe jukwaa la Gadgets lakini humu kuna wahanga sana itawasaidia.

Kwa wale mliochoka kudanganywa na wake/waume, wapenzi wenu: mara oh nipo ofisini, sijui nina safari ya kikazi kwenda London, Paris, South Africa, etc., kumbe mtu yupo Sinza, Kinondoni au Buguruni! Dah!

Sasa mfanyie surprise anayependa kukudanganya kwa kumnunulia android phone, halafu unaenda Google Play unasync his/her tracks na simu yako (android). Utapata taarifa zote za mwenendo wake live bila chenga: Mahali, muda, anatembea, anakimbia, anabinuana, milio anayofanya, etc.,

Kwa maelezo zaidi soma: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.google.android.maps.mytracks&hl=en

My Tracks records your path, speed, distance, and elevation while you walk, run, bike, or do anything else outdoors. While recording, you can view your data live, annotate your path, and hear periodic voice announcements of your progress.

With My Tracks, you can store your tracks with Google Drive, Google Maps, Google Fusion Tables, or Google Spreadsheets, or export your tracks to external storage. With Google Drive, you can also sync your tracks, share tracks with friends, and see the tracks your friends have shared with you. With Google Maps, you can share the map url with friends via Google+, Facebook, Twitter, etc. With export to external storage, you can select GPX, KML, CSV, or TCX format.

My Tracks uses the GPS sensor in your device to record geographic and velocity statistics, but the app also syncs with third-party biometric sensors, including:
- Zephyr HxM Bluetooth heart rate monitor
- Polar WearLink Bluetooth heart rate monitor
- ANT+ heart rate and speed distance monitors (these require an ANT+ compatible phone)

My Tracks is an open source project. If you like to contribute, please visit:
https://code.google.com/p/mytracks

Ahsante kwa kuniongezea ujanja. Kuanzia leo nitakuwa sitembei tena na lap top yangu kama nikiwa na nia hiyo ya safari za London a.k.a. Kinondoni. Mungu akubariki kwa ukarimu wako wa kushare mawazo na wenzako.
 
Trick two ni serious zaidi: Unadaka password zote za mpenzi wako na kurekodi kila kitu anachofanya kwenye internet: Kama hivi:

2012-08-27 20:43:11+0300 > www.jamiiforums.com
2012-08-27 20:45:10+0300 > <LCtrl>a<LCtrl><LAlt>t<Up><Up><Up><Down>Mwigulu>_Chemba
2012-08-27 20:46:54+0300 > <LCtrl><LAlt>t<Up><Up><Up><Up><Up><BckSp><#+3><pwd>CDMpasuakichwa
2012-08-27 20:47:35+0300 > <Up><Left><#+22><Left><BckSp><BckSp><BckSp><BckSp><BckSp>ksudo <>Pm msgs
2012-08-27 20:48:09+0300 >Napeee, Tufanyeje?, maana hawa Chad<BckSp>ema<BckSp>wametushika pabaya! <Nipo AR
2012-08-27 20:48:15+0300 > <Up><Left><#+2><Left><BckSp><BckSp><BckSp><BckSp><BckSp><BckSp>

2012-08-27 20:48:29+0300 > <BckSp><BckSp>2012<BckSp>www<LCtrl><LAlt>t<Up><Left><#+25><Right><Right><BckSp>Honey<BckSp>mme wangu leo hayupo!<BckSp><BckSp><BckSp>Nikutafute!<BckSp><BckSp><BckSp><BckSp>
2012-08-27 20:56:14+0300 > <Up><Left><#+18><Left><Left><#+13><Right><Right><BckSp><BckSp><BckSp><BckSp><BckSp>sudoedit<> /var/log
2012-08-27 20:56:33+0300 > fraisei
2012-08-27 20:56:41+0300 > <LCtrl>www.facebook.com<>
2012-08-27 21:25:49+0300 >
2012-08-27 22:29:46+0300 >
2012-08-27 22:31:26+0300 > <BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<BckSp><BckSp><BckSp>mpg<LCtrl>asudoedit /skp/save
2012-08-27 23:22:08+0300 > Unajua nakuzimia!
2012-08-27 23:22:17+0300 > <Right><#+18><Right><#+62><BckSp><BckSp><BckSp><Up><#+29><Up><#+16><Up><#+12><Up><#+11><Up><#+18><Up><#+9><LCtrl><LAlt>t
2012-08-27 23:39:34+0300 > <Up><#+19><Up><#+11><Up><#+14>
2012-08-27 23:40:27+0300 > www <BckSp><BckSp><Up><.twitter.com><>
2012-08-27 23:40:35+0300 > <Up><#+25><Up><#+9><Up><#+20><Up><#+12><Up><#+15><Up><#+12><Up><#+14><Up><#+9><Up><#+10><Up>
2012-08-27 23:41:38+0300 > Missing you so much!
2012-08-27 23:41:44+0300 > <LCtrl><LAlt>tmysql<#+1>Since that sex ......, u know!

Unaweza kurekodi mpaka screenshots! Hii ni kwenye simu, PC au laptop! Chezea Technolojia weye!

Aisee naitaka hii makitu!
nielekeze mkuu
 
naona unampango wa kuongeza idadi ya wagonjwa wa pressha.
Hayo mambo yaache kama yalivo bana.

Na hiyo option aliyotoa mleta mada imeondoa wale wenye tabia ya kuacha simu maskani na kujifanya wamesahau, kumbe miadi ishapangwa wiki kadhaa nyuma. Una-track simuya mwizi, unakuta inaripoti kuwa ipo bedroom kwenu, mtu kishasepa na kuitelekeza hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom