Kamata Mwizi Meen!

Teknolojia ni nzuri, ila nafikiria tu kuwa hizo emails na SMS za mtu ni kitu private, sina hakika kama ni sawa kisheria kuiba information za mtu bila ridhaa yake. Maana kwa hack password yake, utasoma si tu mahusiano yenu au yake na watu wengi, bali pia mpaka mambo yake ya kifamilia, ndg zake, mahusiano yao, mikopo kama anayo, nk jambo ambalo sidhani kama ni la kiungwana.

Watu wengi sana huwa wanatumia laptop au PC yangu, na log in info zao huwa naziona, lakini sijawahi hata siku moja kusign in kwenye account zao kuangalia wanafanya nini, I don't have such a time and there is nothing that can motivate me to do that.

Nimefanya customization and configuration for testing purposes. I like hacking for some other reasons.
 
Hapo nilipobold kama kweli hujawahi, basi nawe pia ni muungwana wa kutosha. Inabidi nikufuate huko PM ili nami nikamate mwizi men!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom