Kamata Kamata Ya Wanaume Wanaovaa Cheni Iran | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamata Kamata Ya Wanaume Wanaovaa Cheni Iran

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Jun 16, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [TABLE]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD]Katika kuzitokomeza tamaduni za nchi za magharibi, serikali ya Iran imesambaza jeshi maalumu la watu 70,000 watakaokuwa wakiwatia mbaroni wanaume wote watakaokamatwa wakiwa wamevaa chini au hereni.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Ili kuzitokomeza tamaduni za nchi za magharibi nchini Iran, sheria kali imetolewa ya kupiga marufuku wanaume kuvaa cheni au hereni au kukata nywele katika fasheni za watu wa magharibi.

  Ili kuisimamia sheria hiyo mpya, jumla ya polisi maalumu 70,000 watakuwa mitaani kuwatia mbaroni wanaume watakaonekana wanakiuka sheria hiyo mpya ambayo imeelezewa kuwa inazuia uvamizi wa tamaduni za magharibi.

  Wanawake wanaovaa nguo za kubana, suruali fupi au wanaovaa viremba vyenye kuonyesha sehemu ya nywele zao nao watatiwa mbaroni na jeshi hilo maalumu la kurekebisha tabia.

  Sheria hii imetoka wakati, bunge la Iran likijadili sheria ya kupiga marufuku umilikaji wa mbwa nchini humo.

  Shirika la habari la Iran, lilisema kuwa sheria hizi mpya zimelenga kuzuia uvamizi wa kitamaduni wa nchi za magharibi na ili kusimamia utekelezaji wa sheria hizo, polisi 70,000 wataingia kwenye mitaa ya Tehran na miji mingine kusaka watu watakaozivunja sheria hizo.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  dah bongo masharo wote wangetiwa korokoroni
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Iran bana ndo sheria za kiislam hizo
   
 4. M

  Mandi JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Allahu akbar 3,tanzania imeshamalizwa na western culture,wanawake matiti stye,wanaume kata ***** style,picha zangono zimekithri iran keep it up,mungu atawasaidieni.
   
 5. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tanzania wangeanza na mkapa.
   
 6. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Jeshi maalum la kurekebisha tabia hahaa haaaa na hapa tz tunahitaji hili jeshi
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Hizi sheria napenda tuziinge zitatusaidia sana kuwanyoosha mashoga
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  mhh chen ?
  inategemea ikoje

  manake kuna wengne wanavaa chen sjui za dada zao?
  chen ya kiume inapendeza avae silva tena ndogo tu..na unaificha sio tena ukiiivaa unafungua kifungo mpaka cha tumbon ili watu waone...

  blaslet kdg ...jion ivi wakat twatoka...lakin si job machen ayopooooo mwanaume kuvaa chen 3 yahuu?
  blaslet iloooo km dalali wa madin ahh ainog...YES IRAN BG UP
   
 9. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Hii nimeipenda, natamani hata bongo Jk afunguke aitangaze kwa wanaume wavaa cheni na hereni pia wanawake wavaa sox,suruali,kaptua,watoa matiti nje,pia wanaoacha ****** nje nje.
   
 10. K

  KSOO Member

  #10
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huu ni uonezi kilamtu ana uhuru wake jamani kikubwa asivunje sheria naona kama hii sheria ina wanyima uhuru wana nchi wake ingawa kuna vitu vingine tunaiga mbaka tuna sahau utamaduni wetu.
   
 11. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Maboflo mengi huko za kiunoni watazionaje?
   
 12. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  nawasifu mno kwa kuthubutu kurudisha heshima. Hapa TZ haitawezekana kwa sababu hata baadhi ya mawaziri na wabunge ndio mitindo yao hiyo . Pia hakuna kiongozi mwenye ubavu wa kusema au kutoa wazo la kuanzisha sheria za namna hiyo kwa sababu watoto wao ndo masharobaro, ndo wavaa uchi, ndo wabua y unga n.k. Labda miaka ijao aje kutokea lakini kwa sasa ni ngumu viongozi wameoza kabisa kimaadili
   
Loading...