fundimchundo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2010
- 616
- 904
Kikwete anarahisisha kuiua ccm. Anatamani isifike hata 2015.
Ivi wamekamatwa?
Kila viongozi na wanachama wa Chadema wanapokamatwa na polisi, umaarufu wa CDM unaongezeka, huku CCM ikiporomoka.
Viongozi wakuu wa Polisi wanalijua hili.
Kwa nini wanaliendeleza?
Kuwakamata Nassari, aka DogoJanja, Heche na wengine ni kuzidi kuipaisha CDM na kuizika CCM.
Lengo la Kamanda Mwema kwa CCM ni lipi? KUIUA KABLA YA 2015?
Ukiitwa Polisi maana yake ni kwamba umefunguliwa jalada, huko kunaitwa kukamatwa. Usipoenda utapelekwa unatembelea vidole huku umekamatwa mkanda wa suruali.
Isije wakamwakyembe hao, tabia ya kuua watu TZ imekithili na sijui kama Polisi wanachukua hatua zozote???? Usa River, Nduruma, Mandela maeneo yote hayo yamekuwa seen of dumped bodies sijui kama kuna uchunguzi wowte wa maana umefanyika!!!Kila viongozi na wanachama wa Chadema wanapokamatwa na polisi, umaarufu wa CDM unaongezeka, huku CCM ikiporomoka.
Viongozi wakuu wa Polisi wanalijua hili. Kwa nini wanaliendeleza?
Kuwakamata Nassari, aka DogoJanja, Heche na wengine ni kuzidi kuipaisha CDM na kuizika CCM.
Lengo la Kamanda Mwema kwa CCM ni lipi? KUIUA KABLA YA 2015?
wamemkamata kwa sababu alisema juzi kua yeye ni waziri mkuu wa arusha...sa hapo polisi wanataka kumhoji huo uwaziri mkuu wa arusha kapewa na nani:argue:
Kama wanavunja sheria halali za nchi ni lazima wakamatwe, hakuna cha kuogopa kama umaarufu unapanda au unashuka.