Ndio shughuli inayoendelea mjini mkuu.. wametega maeneo yote ambayo wanajua uber zinakatiza, wanazikamata. Wameshindwa kubuni vyanzo vingine vya mapato wameona njia rahisi ni kukamata magari na kuwabambikia makosaYani wamefikia huko??uber huwa inasaidia sana aisee,dah
Sasa wakiwakamata wanawafungulia kesi gani??tz bhanaNdio shughuli inayoendelea mjini mkuu.. wametega maeneo yote ambayo wanajua uber zinakatiza, wanazikamata. Wameshindwa kubuni vyanzo vingine vya mapato wameona njia rahisi ni kukamata magari na kuwabambikia makosa
Matatizo/dispute za kibiashara huwa solved mahakamani. Ubabe ni ujinga nadhifu.Uber imekuwa na matatizo sana na Manispaa nyingi Duniani... hapo Dar nyie sio wa mwanzo...
Kwa waendeshaji Uber, wengi wao hukimbilia mahakamani na hata hivyo hushindwa na kuishia kulipa faini kubwa kubwa.Matatizo/dispute za kibiashara huwa solved mahakamani. Ubabe ni ujinga nadhifu.
Dunia haisimami, watengeneza magari wanabuni magari yanayoendeshwa kwa software, autodrive n.k.Kwa waendeshaji Uber, wengi wao hukimbilia mahakamani na hata hivyo hushindwa na kuishia kulipa faini kubwa kubwa.
Aidha vyama vya madereva taxi wengi duniani wamekuwa wakiingia katika mapigano na Uber hadi kufikia hatua ya kuyachoma moto magari ya Uber ikiwa ni pamoja na kuwapiga madereva wake.
Kuna nchi kitendo tu cha kuanzisha Uber ni kosa la jinai.