Punguza jazba. Point yako ipo wapi? We sema tu 3D inahatarisha maisha ya watumia barabara hivi na vile. Basi.WOTE WANAUWEKA 3D NI WAPUMBAVU WASHAMBA NA MATAIRA MALIMBUKENI... KUNA UPUMBAV NI MTOTO MDOGO WA DARASA LA 4 NDIO ANAWEZA KUFANYA...
Mtu una miliki ki crown IST passo rush au xtrail unaweka mbwembwe, what if ukija kumiliki brand kubwa??
Una gari?Hivi taa ya gari unaiwekea tinted ili iweje?
Unyama” acha ushambaHivi taa ya gari unaiwekea tinted ili iweje?
Ndio, nna cressida ya urithiUna gari?
Kwanza inapendeza,pili haitapauka na kufubaaHivi taa ya gari unaiwekea tinted ili iweje?
Wanabadilisha hawaweki halisi, mtu anajitungia linamba analiweka in form of 3DUfafanuzi kidg hapo kwenye 3d number plates zinahatarisha vp usalama