Kamarada Mrisho Gambo Athibitisha Hata Mwanaume Anaweza Kubeba Ndoo Kichwani na Kusaidia Akina Mama

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,208
4,703
Ni Jambo Jema
Kwa nia Njema
Hongera Sana Kamarada Mrisho Gambo
FB_IMG_16011976530006784.jpg
FB_IMG_16011976375696967.jpg
 
Katika majimbo haya ma4 Kawe, Mbeya, Mikumi na Arusha mjini kuna uwezekano yakawa ma2 au ma3 yakaenda kwa CCM
 
Kwani kipindi chote alikuwa wapi hakubebaga? Sisi mbona tulibebaga sana na hatukuhitaji mtu atupige picha?

Mwambieni hata hakibeba mimba ili kuonesha anawajali akina mama kura hapati.


Katika majimbo yanayofamika kwa upinzani makili na ni marahisi sana kuyapoteza ni pamoja na hili
 
Kumbuka yule wa M4C 2015 aliyekua anapanda daladala za Dar na kwenda kunywa uji sokoni
Huyu anakunywa uji kwa mama ntilie akidai mamayake alikuwa mpiga uji. Anashinda kwenye vijiwe vya kahawa, na sasa anabeba ndoo tupu ilimradi kampeni ziende.
Mbona kipindi cha nyuma alikuwa achangamani na hayo makundi?
 
Back
Top Bottom