Kamanda Wambura akikimbia Kilimanjaro Marathon

Kamanda Wambura akikimbia Kilimanjaro Marathon

Minimarie

Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
6
Reaction score
0
Nimeikuta hii kwenye website ya Kilimanjaro marathon. RPC wa K'ndoni C Wambura (no 3367) akikimbia Marathon

imageedit__4674464587.jpg
 
Nimejikuta natazama picha ilio kwenye ID yako zaidi kuliko ya Kamanda ha!ha!ha!Kazi ya jeshi mazoezi bigup kamanda kova yeye kwenye Ngumi.....
 
Mazoezi muhimu sana..siyo askari anakuwa na kitambi kama yule Trafic pale Chalinze..maeneo ya Pingo..
 
Nimeikuta hii kwenye website ya Kilimanjaro marathon. RPC wa K'ndoni C Wambura (no 3367) akikimbia Marathon

Wakati anasoma O-level Nsumba Seondari alikuwa pia tishio kwenye English Debates. Shule za sekondari za Nganza, Bwiru Boys/Girls, Sengerema, Nyamilama na zingnezo walikuwa wnamhra when it comes to Debates. Huyu jamaa mwache tu!
 
Mfano mzuri kwa makamanda wengine wa polisi na jw pia. Hawa watu wako unfit kabisa tofauti na kazi zao.
 
Back
Top Bottom