Kamanda wa Polisi amzuia Mbunge kufanya mkutano kwasababu ni wa Viti Maalumu

TULIA akienda popote haendi kama mbunge viti maalumu anaenda kama nabu spika wa bunge la muungan,Naibu spika ni wa vyama vyote bungeni anaenda kwa mamlaka ya kiti cha naibu spika
Wakati mwingine oneni aibu kutetea ujinga
 
Magufuli atakapokuja kujua kuwa anahujumiwa atakuwa amechelewa. Mikoa mingine wanafanya mikutano ya hadhara haohao viti maalum, Tanga wamezuiwa. Halafu kiswahili kilichotumika tu kinaonesha uwezo Wa chini mno Wa kifikiri Wa huyo OCD.
Kwani hayajui haya mkuu?
 
Watu walishapaza sauti viti maalum vifutwe.

Polisi wameanza vizuri wawazuie viti maalum wote bila kujali vyama wanavyotoka
 
TULIA akienda popote haendi kama mbunge viti maalumu anaenda kama nabu spika wa bunge la muungan,Naibu spika ni wa vyama vyote bungeni anaenda kwa mamlaka ya kiti cha naibu spika
Nahisi mimba yako ilitungwa kwenye utumbo mpana sio kwenye kizazi na hayo ndio madhara ya kuzaliwa kupitia tundu la nyuma
Nadhani kesi zilizofunguliwa mahakama kuu kuhusiana na haki za kufanya mikutano.
Pia ipo kesi nyingine ya kupinga wakurugenzi wa halmashauri na majiji kutosimamia chaguzi zetu.

Tatizo ni hivi vyeo vya kuteuliwa, bwege kapewa mamlaka makubwa yaliyomzidi!!
 
Naona jambo kwa jicho langu la rohoni japo miye sio nabii Titto! Unaweza kufikiri hawa watendaji wa juu kuwa wanatoa maagizo kwa hawa wa chini ili kumfurahisha mkulu! Kwangu ni kinyume kabisa kwani binadamu ana mbinu nyingi za kukuangusha akidhamiria! Niliwahi kushauri humu juu ya hao wasaidizi na washauri wake asiwaamini sana kwani yeye ndiye anayetupiwa matope kwenye uongozi wake na wao wanabaki wasafi kwani hawaonekani popote hao wapambe nuksi! Na huu mpango unafanikiwa sana tena kwa kasi kuliko maendeleo anayopambana kuyaleta!
Ona zile kaulimbiu za tanzania ya viwanda zinavyozimwa na mauaji au utekaji wa viongozi na ununuzi wa madiwani na ubunge pamoja na marudio ya uchaguzi! Mkulu awe makini na hawa watengeza mbinu na mikakati ya kumharibia kwa wananchi! Alikemee jeshi la polisi sasa kwa kusaidia kuvunja sheria badala ya kuzilinda kwani wao hawalaumiwi kihivyo!
Na huenda mkulu una upinzani wa ndani kabisa unaoratibiwa na hao wanaokuzunguka na kukushauri! Haiwezekani mkulu ashindwe kwa kila kitu alichokianzisha kama rushwa, madini n ununuzi wa ndege! Kuna hujuma na wafute kazi wote ukianzia kwa mawaziri na wakuu wa polisi na mikoa na hata wilaya! Hawakusaidii kusimamia na kuelimisha wananchi zaidi ya kuwatia hasira ili wakuchukie wewe na serikali yako!
 
Tulia akson ni mbunge wa viti gani?Tumeshuhudia Tulia aksoni akifanya mikutano ya hadhara.Sasa huyu anatuambia walioruhusiwa ni wa majimbo tu,angesema hivi kwakuwa ni mbunge wa viti maalum chadema hauruhusiwi kufanya mkutano wa hadhara,ila ungekuwa viti maalum ccm ungeruhusiwa.Ubaguzi oyeee,pia tuyakubali matunda yatakayopatikana na dhambi hii ya ubaguzi tusije baadae tukaanza kushangaana.
 
Naona jambo kwa jicho langu la rohoni japo miye sio nabii Titto! Unaweza kufikiri hawa watendaji wa juu kuwa wanatoa maagizo kwa hawa wa chini ili kumfurahisha mkulu! Kwangu ni kinyume kabisa kwani binadamu ana mbinu nyingi za kukuangusha akidhamiria! Niliwahi kushauri humu juu ya hao wasaidizi na washauri wake asiwaamini sana kwani yeye ndiye anayetupiwa matope kwenye uongozi wake na wao wanabaki wasafi kwani hawaonekani popote hao wapambe nuksi! Na huu mpango unafanikiwa sana tena kwa kasi kuliko maendeleo anayopambana kuyaleta!
Ona zile kaulimbiu za tanzania ya viwanda zinavyozimwa na mauaji au utekaji wa viongozi na ununuzi wa madiwani na ubunge pamoja na marudio ya uchaguzi! Mkulu awe makini na hawa watengeza mbinu na mikakati ya kumharibia kwa wananchi! Alikemee jeshi la polisi sasa kwa kusaidia kuvunja sheria badala ya kuzilinda kwani wao hawalaumiwi kihivyo!
Na huenda mkulu una upinzani wa ndani kabisa unaoratibiwa na hao wanaokuzunguka na kukushauri! Haiwezekani mkulu ashindwe kwa kila kitu alichokianzisha kama rushwa, madini n ununuzi wa ndege! Kuna hujuma na wafute kazi wote ukianzia kwa mawaziri na wakuu wa polisi na mikoa na hata wilaya! Hawakusaidii kusimamia na kuelimisha wananchi zaidi ya kuwatia hasira ili wakuchukie wewe na serikali yako!
Kama hao unaowaita wasaidizi wake endapo wangekuwa wanakosea juu ya wapinzani ungeshamsikia akiwalaumu hao wasaidizi.Je, kuna siku wewe binafsi ulishawahi kumsikia akiwaonya wakuu wa wilaya,mikoa,wakurugenzi nk.kuhusu kuwanyanyasa wapinzani?
 
"Mwafrika hata akisoma hawezi kuacha upumbavu wake"By P.w.Botta aliyasema haya akiwa anahutubia bunge la Afrika kusini.
 
Kama hao unaowaita wasaidizi wake endapo wangekuwa wanakosea juu ya wapinzani ungeshamsikia akiwalaumu hao wasaidizi.Je, kuna siku wewe binafsi ulishawahi kumsikia akiwaonya wakuu wa wilaya,mikoa,wakurugenzi nk.kuhusu kuwanyanyasa wapinzani?
Sijabase kwenye jambo moja bali nimejumuisha mengi ambayo hayatekelezwi wala kuhimizwa baada ya kutangazwa! Hilo la kuwanyanyasa wapinzani wa vyama vingine halimsaidii sana na linafanana na mfano wa fundi mkuu kuwachukia wabeba zege wakati wanasaidia kuijenga nyumba hiyohiyo anayoisimamia na sijui itakamilika bila msaada wa hawa wabeba zege na matofali? Napo hapa mshauri wake wa masuala ya kisiasa hamtendei haki. Nimshauri tu ajiulize na kuzitafakari faida za kufuga mbwa kuwa ni kusaidia ulinzi wa nje wakati wewe mfugaji umelala ndani!
 
Ajabu wakina Polepole kutwa nzima wanamikutano ya hadhara.Huu upuuzi si wa kuvumiliwa.Kama Akwelina ameuawa na hakuwa na hatia,mi niko tayari kuidai haki yangu hapo April 26.Tanzania stand up!!
 
MUHEZA: Kamanda wa Polisi amemzuia Mbunge Yosepher Komba(CHADEMA) kufanya mkutano wa hadhara kwasababu ni Mbunge wa Viti Maalumu.

> Barua hiyo ya Kamanda wa Jeshi la Polisi Wilayani hapo imeeleza kuwa inatambua mikutano ya hadhara imeruhusiwa kwa Wabunge wa Kuchaguliwa(Majimbo) pekee

> Jeshi la Polisi limemtaka Mbunge huyo awasiliane na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga

Hivi kumbe tamko limeshakuwa sheria tayari !!! Duuhh katiba mpya ndio chakudai vinginevyo tumerudia ukoloni
 
Kwa hiyo Mbowe na Lissu wanaweza kuzunguka nchi nzima kukagua miradi ya maendeleo kisa ni mnadhimu na naibu mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni? Acha utetezi dhaifu dogo.

Duh mkuu bado mnamuota kiboko yenu Mh Tundu Lisu. mmemtwanga risasi lakini bado anawapa jinamizi. Jina lake hamuachi kulitajataja. Japo yupo hospitali lakini bado mnaweweseka.
 
Back
Top Bottom