Kamanda wa Kamanda

kamanda wa kamanda

Senior Member
Oct 12, 2013
191
75
Taarifa alie rudisha kadi ya Chadema na kuamia ccm wilaya ya chunya jana ndugu Braison mwasimba si Katitbu wa Wilaya Katibu wa wilaya anaitwa Protas Mgimbila. Braison alivuliwa ukatibu tangu mwezi wa tano kwa kosa la kupingikiza pikipiki ya chama kwa sh. Laki mbili.
 
Back
Top Bottom