Kamanda wa anga pole bwana, ndio siasa hiyo.

Picha ziko wapi wewe gamba...mimi nimeziona kule fb picha za mkutano wa mbowe palikuwa hapatoshi,watu walijaa sana.pereka cheap peremende limumba humu kuna watu wazima,hakuna watoto wa kudanganywa na peremende.
 
Nasikia Mtela ameishapita huko sasa ulitegemea nini
Watu wameisha jitambua,

Ukali wa viroba hautakaa milele vichwani mwa makamanda, taratibu wanaanza kujitambua

mtela huyu huyu! Kweli nimeamini kuishi ulaya sio suluhisho la kuepukana na ujinga,umaskini,njaa..bila kusahau maradhi ya kufikiri
 
Hivi waongo kama hawa huwa nao wana watu wanaowaheshimu?
 
ACHA KUTUMIKA, WATANZANIA WA LEO C WALE 2005 NA 2015.HUU NI WAKATI WA DIGITAL ,YAANI CHADEMA NI DIGITAL NA MACCM NI ANALOGIA.MWISHO YA YOTE UTAPATA Aibu.
 
Kuna njia 2 tu za ku-prove ukweli, moja kwa aliyesema kuthibitisha ama kwa alityesemwa kuleta ushahidi wa ukweli kupinga ule uongo wa awali...sasa wa Chadema Iyela watuletee hapa ushahidi

Dr kiukweli vijana wa chadema wanahitaji ile tiba unayompatia lissu...wamekunywa viroba hadi wamepata ule ugonjwa..nakuomba usiwe unaadimika sana hapa jukwaani japo najua una majukumu mengi sana. Afya kwanza.
 
Kuna njia 2 tu za ku-prove ukweli, moja kwa aliyesema kuthibitisha ama kwa alityesemwa kuleta ushahidi wa ukweli kupinga ule uongo wa awali...sasa wa Chadema Iyela watuletee hapa ushahidi

Mh. MP, thread aina hii siyo saizi yako, waachie hao vijana wanaohangaikia buku seven ndo washughulike nazo. Mtu km wewe unapowashabikia halafu baadae ushahidi ukaletwa na thread kuonekana ni ya uzushi, itakushushia heshima ya uheshimiwa wako bure. Wewe ni mtu wa kujadili hoja, siyo vioja au udaku.
 
Wewe una kichwa kigumu kweli, hivi kuna sehemu mhe. MP ametetea kuwa huu uzi ni wa kweli? sasa kihere here chako kinatoka wapi?

Mhe. Kigwangwala amesema kuhusu 'uthibitisho', sasa wewe na pua lako unaandika nini?
 
Nasikia Mtela ameishapita huko sasa ulitegemea nini
Watu wameisha jitambua,

Ukali wa viroba hautakaa milele vichwani mwa makamanda, taratibu wanaanza kujitambua
Sitashangaa baadae ukija na apology, maana ndo zako kukimbiiliia uomba misamaha sasa hv hatutauacha tutakuchapa bakora ujifunze! wi gita nyoni!
 
Watu wengine mnachekesha sana hapo juu umeweka thread ya kumsifia Mwigulu kuwa ulimpa kura yako 2010 na ukamwahidi 2015 kisha unakuja na hadaa zako kuwa ulikuwa kwenye mkutano wa Mbowe mbeya huoni kuwa ukiwa mwongo usiwe msahaulifu? Hata kama ndiyo wale vijana wa ccm mliopewa jukumu la kujibu utumbo kwenye mitandao ya jamii, basi unahitaji mafunzo zaidi. Make threads zako zinakuanika kwamba wewe ni mwongo mkubwa na huwezi kuaminika tena humu mtandaoni km una ujasiri basi weka picha za kutengeneza toka kwa Mwigulu. Kama wewe ni mpiga kura halali wa singida basi utakuwa unaishi huko na km umehama basi utakuwa na mapenzi makubwa kusaga nauli kwenda kumpigia mtukana matusi ya nguoni mwigulu. Na utueleze sasa sababu zilizokufikisha mbeya walau uongo wako uwe na mashiko.
 
Wewe una kichwa kigumu kweli, hivi kuna sehemu mhe. MP ametetea kuwa huu uzi ni wa kweli? sasa kihere here chako kinatoka wapi?

Mhe. Kigwangwala amesema kuhusu 'uthibitisho', sasa wewe na pua lako unaandika nini?

Povu lote hilo la nini? Weka picha basi kuthibitisha madai yako.
 
Kuna njia 2 tu za ku-prove ukweli, moja kwa aliyesema kuthibitisha ama kwa alityesemwa kuleta ushahidi wa ukweli kupinga ule uongo wa awali...sasa wa Chadema Iyela watuletee hapa ushahidi

Mhe Mbunge..kwanini wanachadema walilete ushahidi..kwani ni wao ndio walianzisha hii mada?
 
Kupenda kubaya!! kwa CHADEMA hii usitegemee ikapoteza mvuto kirahisi hivyo. Hivi unadhani ni watanzani wangapi wanamjua mwampamba hata wamwamini? watu hawamwamini JK atakuwa huyo mtu wako hata kazi hana!! nimeamini kupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…