PreGE2025 Kamanda Ulrich Matei azitaka kampuni za Ulinzi kushirikiana na Polisi Katika kuimarisha amani na utulivu Uchaguzi Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, DCP Ulrich Matei amezitaka kampuni binafsi za ulinzi nchini kushirikiana na vyombo vya usalama kuimarisha amani na utulivu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba mwaka huu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

DCP Matei ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa kazi wa Kanda ya Kati uliofanyika mjini Tabora

DCP Matei ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa kazi wa Kanda ya Kati uliofanyika mjini Tabora.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amani ya Nchi ni muhimu kuliko kitu kingine chochote.
Kamwe tusikubali kunguni yeyote anajaribu kuchezea amani yetu...lazima washughulikiwe kama mbwa koko.
 
Amani tunayo siku nyingi, tunahitaji HAKI.
Haki kwa sasa ndio hatari namba moja kwa amani yetu.
 
Kama munavyo tuhimiza kushiliki liki kudumisha amani hivyohivyo msimame kutusaidia tunapo zurumiwa nssf baada ya kustaf katka kazi yet ya security
 
Kama watu wanauwawa na kupotezwa hapo hakuna amani
 
Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, DCP Ulrich Matei amezitaka kampuni binafsi za ulinzi nchini kushirikiana na vyombo vya usalama kuimarisha amani na utulivu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba mwaka huu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

DCP Matei ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa kazi wa Kanda ya Kati uliofanyika mjini Tabora

Ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom