Kamanda Sirro: Kama kuna kiongozi alitaja siku watakayopatikana akina Roma, mulizeni yeye

Wanaanza kutupiana mpira sasa! Wakati huo huo Waziri wa mambo ya ndani ambaye jana alidai kushangazwa na kutekwa kwa akina Roma bado kauchuna kimyaaa! Kama alivyouchuna kwenye sakata la uvamizi wa CLOUD! Hivi huyu anafanya kazi ipi pale Wizarani!? Au kawekwa kama picha tu!?
 
Hiyo gari hivi hawakufanikiwa kunasa namba zake? maana wanasema hapo nyumbani palikuwa na watu wengine!
Hivi mkuu watu wamekusudia mabaya watatumia namba halisi za gari hilo? Labda kama ni polisi au kikosi kingine. Lakini waharifu unaweza ku record namba ukakuta ni ya kiberenge!!
 
Tanzania inchi yangu inaanza kukumbwa na yasiyoelezeka .Watu wanaishi kwa wasiwasi .aliyetoka hana uhakika wa kurudi nyumbani .vijana wanaharakati wanazibwa mdomo.wasanii wanamuziki hawana uhuru tena wa kufanya kazi zao za .Tumekuwa sasa kama mexico watu wanapotea potea kila kukicha.Jeshi lililo na dhamana ya usalama wa Raia na mali zao imekuwa chaka lisilo elezeka.Police wameacha kufanya kazi yao wanafuata kauli za wateuliwa .Sasa itafikia hata Raisi wa mkoa akimtaka mke wako anakuja ndani tu na polisi na wanajeshi wanamchukua mkeo wanaondoka zao.MUNGU WANGU TUEPUSHE NA HAWA MADHWALIMU WAANGAMIZE KWA NAMNA YA UWEZO WAKO
 
Kimbola cha bashite aisee kina nguvu,Yani kamkamatia 'yule bwana' pabaya,mbeleko aliyo bebewa ni ya chuma akyanani vile!
 
Back
Top Bottom