NDIO MAANA ALIACHIA SHISHA IENDELEE KWASABABU INAUZWA OYSTERBAY INGEKUWA INAUZWA UWANJA WA FISI MANZESE ANGEKAMATAKwa hiyo laptop jaikua nyaraka ya serikali? Au mwenzetu bado yupo zama za chama kimoja wakati nyaraka ilikua ninkaratasi tu
Sirro ukifanya mchezo tutaamini yote aliyosema Makonda juu yako .anajua kilichokuwemo kwenye laptop au anadhan nyaraka lazima ziwe inform of papers atuulize sie wadukuzi
Tukutane mahakamani kuthibitisha RC alisema hivyo....ila we jamaa nimecheka sanaSuala la kuzusha taarifa za uongo ni vema aanze na RC aliyemzushia kamanda kala mlungula ili kuruhusu shisha asipomchukulia hatua RC tutajua ni kweli alikula huo mlungula
Mkuu makamanda wetu baado wanaamini watanzania ni wajinga atuambie hiyo laptop ilikuwa na nini siyo analeta brabra au kulikuwa na vikombe vya chai aache kukurupuka.anajua kilichokuwemo kwenye laptop au anadhan nyaraka lazima ziwe inform of papers atuulize sie wadukuzi
Zipo viwandani, mkiwachagua 2020 ndio wanawakabidhi waalimu.Mimi nauliza hv zile laptop za walimu walizoahidiwa ziko wapi jamanii?