mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,418
- 8,409
Atasema alikuwa anataia kama Steve Nyerere. Wanaotishwa ni watu wa chini, issue ya Bashite watu wadai tuangalie utendaji ila kwa Walimu na Manesi vyeti lazima.
Kumbe ndio maana yule kijana alikuwa anamkalia kooni huyu baba kila mara!Kikulacho ki nguoni mwako
Vyeti feki vingi sana kitaani ila wahusika wakipewa taarifa hawashughulikii hata kidogo, NECTA wakipewa taarifa wapo kimya kama hawajui vile. Tatizo lipo tena linaanzia palepale NECTA
Naona baada ya kutangaza vita dhidi ya vyeti feki akampakazia swala shisha tehe tehe teheKumbe ndio maana yule kijana alikuwa anamkalia kooni huyu baba kila mara!
Kumbe alimtangazia vita!
Kijana unataka kutikisa nchi ?Aanzie humo humo polisi kwanza sababu wamejaa kibao..
Hapa ndio pa kulipia ile kashfa ya shisha .Kamanda Sirro vipi mbona umelala??
Habari za Leo Mkuu.. Bado unamsimamo huu huu?Safisha safisha
Naona Tanzania inakuwa ya viongozi makini na wenye vigezo.
Mambo yakuishia form Six ZERO
Nakuongoza Watu wenye Elimu zao
Mwisho 2015
Ni laana kweli Mkuu ndio maana mwisho wa siku unarudi kumlilia Mungu ibadani.mtu unafoji mpaka cheti cha form 4 c ni laana hiyo!
Mkuu una maono ya mbali sana. Hatimaye TUMEDUWAZWA tayari.Hili zoezi likifanyika kwa uadilifu LITADUWAZA na KUSHANGAZA wengi.Sisi wakristo tupeleke na vyeti vya UBATIZO wa maji MACHACHE maana kuna wengine wamevitakatisha kwa maji Mengi