ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,141
- 950
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Nyasa kwa tiketi ya UKAWA, Kamanda Ngwatta amerejea ulingoni baada ya kutibiwa na kupona kufuatia ajali aliyoipata kwenye harakati za Kampeni.
WANANCHI WAKIWA WAMEHAMASIKA KUSUKUMA GARI YA NGWATTA...NGWATTA AMEKUWA TISHIO KWA MAMA STELLA MANYANYA a.k.a MAMA MATOMATO
WANANCHI WAKIWA WAMEHAMASIKA KUSUKUMA GARI YA NGWATTA...NGWATTA AMEKUWA TISHIO KWA MAMA STELLA MANYANYA a.k.a MAMA MATOMATO