GE2025 Kamanda Muliro: Tutasindikiza masanduku ya kura. Kuna watu wanajifanya mahayawani kwamba wanaenda kuyateka. Ukijaribu, tutashughulika na wewe!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,177
Reaction score
7,472
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesisitiza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kuhakikisha Uchaguzi wa 2025 unafanyika kwa amani, haki na utulivu, amesema hayo wakati akizungumza kwenye mdahalo kuhusu amani na demokrasia kwenye Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, leo Agosti 20, 2025.

Muliro ni muliro halisi moto kama moto piga kazi kamanda

USSR
 
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesisitiza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kuhakikisha Uchaguzi wa 2025 unafanyika kwa amani, haki na utulivu, amesema hayo wakati akizungumza kwenye mdahalo kuhusu amani na demokrasia kwenye Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, leo Agosti 20, 2025.

mnasindikiza au mnaingiza masaduku ya kura feki
 
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesisitiza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kuhakikisha Uchaguzi wa 2025 unafanyika kwa amani, haki na utulivu, amesema hayo wakati akizungumza kwenye mdahalo kuhusu amani na demokrasia kwenye Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, leo Agosti 20, 2025.

Tumerudi miaka 20 nyuma
 
Haya ndiyo mashetani yenyewe, ambayo huwa yanaingiza masunduku ya kura za wizi.
 
Hatushiriki... hata mkiamua kwenda kuzihesabu vituoni, endeleeni
 
Hiyo ni kwa mjibu wa intelijensia ya Polisi. Wamefanya kazi nzuri sana wamejua mipango mibaya hata kabla ya Uchaguzi. Nauliza mbona Intel hiyo imeshindwa kuwajua watekaji kabla ili kuwazuia au kuwakamata baada ya matukio?
 
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesisitiza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kuhakikisha Uchaguzi wa 2025 unafanyika kwa amani, haki na utulivu, amesema hayo wakati akizungumza kwenye mdahalo kuhusu amani na demokrasia kwenye Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, leo Agosti 20, 2025.

Huyu hata asiposema hayo inafahamika hawezi kusema nje ya hicho alichoelekezwa. Ni wakupuuzwa tu
 
Wanayasindikiza wapi kwanini wasipige kura wenyewe hao polisi wakamaliza mchezo huko huko?

Sisi tutabaki majumbani mwetu na kura zetu ili zisiibiwe.
 
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesisitiza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kuhakikisha Uchaguzi wa 2025 unafanyika kwa amani, haki na utulivu, amesema hayo wakati akizungumza kwenye mdahalo kuhusu amani na demokrasia kwenye Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, leo Agosti 20, 2025.

Mnasindikiza Nini😆😆😆watz sio wapuuzi.... Endeleeni tu
 
Back
Top Bottom