GE2025 Kamanda Muliro: Nina uhakika kwa Jeshi hili, sidhani kama yupo anaependa kufa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu

Akiwa anazungumza leo Agosti 20 Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro wakati anafunga hotuba yake ametoa kauli hii:

"Nina hakika kwa Jeshi hili sidhani kama yupo anaependa kufa"

Huyu nae huwa anatumbua mimacho!

Leo naona hajatumbua mimacho yuko na wageni classic!

Akiwa anaongea na watanganyika anatumbua mimacho haswaa!

Sijui ndio walivyofundishwa jeshini? Anyway taaluma za watu!
 
Wakuu

Akiwa anazungumza leo Agosti 20 Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro wakati anafunga hotuba yake ametoa kauli hii:

"Nina hakika kwa Jeshi hili sidhani kama yupo anaependa kufa"

Kuepukana na kifo siku hiyo sitatoka ndani, polisi wa CCM hawakawii kufunga barabara na kuwapiga wapitanjia.
 
Awadanganye wajinga,

Takwimu ziko wazi kuwa, idadi ya polisi na askari white nchi nzima,

Hawaezi kutosha kulinda hata kwa askari mmoja tu kwa Kila kituo Cha uchaguzi.

Hivyo vitisho vya kijinga baada ya kuhongwa, akawadanganye watoto wake.

Hii nchi ni yetu sote,

Na ajue Sisi wananchi ndio tumenunua bunduki na hizo risasi chache kutulinda SI kututishia.
 
Wakuu

Akiwa anazungumza leo Agosti 20 Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro wakati anafunga hotuba yake ametoa kauli hii:

"Nina hakika kwa Jeshi hili sidhani kama yupo anaependa kufa"

Si wamehongwa magari, bodaboda na baskeli na fedha na CCM.....STUPID BABOONS
 
Awadanganye wajinga,

Takwimu ziko wazi kuwa, idadi ya polisi na askari white nchi nzima,

Hawaezi kutosha kulinda hata kwa askari mmoja tu kwa Kila kituo Cha uchaguzi.

Hivyo vitisho vya kijinga baada ya kuhongwa, akawadanganye watoto wake.

Hii nchi ni yetu sote,

Na ajue Sisi wananchi ndio tumenunua bunduki na hizo risasi chache kutulinda SI kututishia.
Kweli kabisa, ukilinganisha idadi ya polisi, JKT, Mgambo nk bado hawawezi kulinda vitua vyote
 
Back
Top Bottom