Kamanda Msigwa live Channel ten katika Mada moto

gwa myetu

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
4,473
4,665
Kamanda Msigwa yupo live now channel ten anazungumzia kuhusu siasa , uchumi na uwajibikaji..

Amejikita kwenye serikali ya sasa, ukubwa wa serikali, pia anaona wakuu wa wilaya na mikoa hawana kazi yoyote na wengi walishindwa kwenye uchaguzi ndio wakapewa hiyo nafasi kama kifuta jasho
 
Anasema wakuu wa wilaya hawana ushawishi kwa wananchi , ndo maana wakitaka kuongea na wananchi lazima watumie nguvu ya jeshi na vitisho
 
Anasema sera ya kutumbua majipu anakubaliana nayo lakini ni ya upinzani, na anamuomba JPM awe muungwana akiri mbele ya waandishi kwamba sera hiyo ni ya upinzani.

Tija ya kukamua majipu wataona effect yake wakitembelea mashuleni n.k so watu wakibanwa na wao watamsaidia maana wengi wanaokamuliwa ni wana ccm
 
Mbona mabosi wake wanadai wanaokamuliwa ni wapinzani? Halafu ni lini sera hii ilikuwa ya upinzani?
 
Hawa chadomo wametoka wapi tena?

Huyu anakurupuka baada ya kumuona Nassari Jana na msafara wa watu 4 wanazunguka hospitalini.

Huu mwendo wa magufuli utawatoa jasho..
 
Msigwa ni mpuuzi mmoja wa kupuuzwa....Leo hii tuache kujadili na kutafakari jinsi ya kuinua uchumi wa nchi yetu tuanze kujadili habar za Sera za ukawa?,wapi ukawa waliahidi kutumbua majipu?? Hivi nyie nyumbu wa kike mna shida gani lakin? Mjinga mwngne anathubutu kusema eti msigwa ana akili sana akili ipi? Imarishen chama chenu muwe na upinzan wenye tija kwa jamii wapuuz nyie
 
Wapinzani wote.kuanzia mbowe zzk.. mbatia.. masigwa.. hawajapata cha kuongea hadi leo.. magufuli kawaziba midomo
 
Wapinzani wote.kuanzia mbowe zzk.. mbatia.. masigwa.. hawajapata cha kuongea hadi leo.. magufuli kawaziba midomo

Yapo madudu mengiv ya kuongea, waruhusuni wapinzani wafanye mikutano ndo mtamjua Nyoso ni nani
 
Back
Top Bottom