Kamanda Mawazo apata Mwana CCM mwingine

Kamanda Mawazo apata Mwana CCM mwingine

Wish na Lema nae angeendelea tu na amsha amsha yake as usual,ili iwe twanga kote kote
 
Once again, BIG UP kamanda Mawazo. Hivi kanda nyingine hazina makodineta? Maana tunamsikia huyu tu kila siku.

Swali la maono ya mbali: Hivi huyu bwana ana ulinzi wa kutosha?
 
Bigman unatisha, mambo yangu yakiwa sawa next week, lazima niitafute 10,000 nikutumie unywe japo Kilimanjaro Pure Drinking Water, for sure naikubali sana kazi yako, KEEP IT UP!!
 
Sasa la ajabu ni lipi? kwani kakako akiwa waziri na wewe ni waziri? au lazima ufuate misingi ya chama chake?

Dogo naye kama katumwa hivi na bro.... kuweni makin kwahili CDM bukoba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom