Kamanda Mambosasa: Upelelezi wa kesi ya wafuasi 27 wa CHADEMA wakiwemo viongozi wanaodaiwa kufanya fujo gereza la Segerea umekamilika

Haiingii akilini suala la magereza unamhusisha Bashiru kivipi hasa.

Ni kukosa akili tu ya kuwaza. Unajua ni kosa gani wamefanya au unahisia zako tu
 
Ila wakuu ,Halima Mdee ni Chombo kikali sana..
IMG_20200315_182915_278.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
. Na Kama ni hisia zako kwanini unawaza upande mmoja tu..kwanini usiwaze kwamba watakuwa wametenda kosa la jinai
 
Siasa zitawauwa ndugu zanguni hivi nyinyi huwa mnaona kawaida watu wale kwenda kushabikia tu!
Hivi wale huwa ni watu wa namna gani ambao huwa kazi zao ni kwenda kushabikia watu ambao wanatetea ulaji wao na wao kusahau ya kwao?

Siasa huwa zina nyuma ya mapazia na propaganda ni chachu ya kung'arisha chama bila matukio Kama hayo chama kitafifia jiandaeni kwa matukio mengine
 
Nanyie polisi kusema uongo ndo weledi wenyewe wa kazi yenu sijui. Mkiona kundi la chadema mnawabambikia kufanya fujo, mkiona kundi la ccm mnawaelekeza taratibu za kufanya wakati wote lengo ni hilohilo moja. Kwenu chadema ni zaidi ya majambazi.

Yaani hata kitendo tu cha kuja kwenu kuomba ridhaa ya kufanya jambo fulani tayari mnainua silaha wasiwasogelee. Polepole amekuja na kundi kubwa hapo na makamera mkabaki mnajichekeshachekesha tu. Kuja Halima Mdee mna fura na kuchanganyikiwa kama mmeshikwa sehemu zenu za siri bila ridhaa yenu.

Mpaka mnataka kumuua mama wa watu wakati hata fimbo alikuwa hana mkononi kwamba anakuja kugombana. Halafu bila tashwishwi wala kupepesa macho mnasema uongo kwamba walikuja kufanya fujo. Staarabikeni jamani.
 
Kwamba wafuasi wa Chadema walitumia nguvu kutaka kuingia gerezani kwenda kumtoa Mwenyekiti wao Mh.Mbowe?
Mbowe alikaa gerezani Siku kadhaa,kwanini hizo nguvu hawakutumia ndani ya Siku hizo wakasubiri taratibu zote za kumtoa zifanyike ndo waende kulazimisha kumtoa kwa nguvu?
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza lakini ninachokiona ni askari wetu (Dola)kukubali kutumiwa na akina Bashiru kitu ambacho hakitaleta Afya njema ya Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wakishavuta dawa ndo wanaweza kuongea vile. Ni mwendawazimu pekee ana uwezo wa kuwaelewa hao jamaa
 
Mnaosapoti haya nyie ni washenzi wakubwa mnashabikia mambo ambayo yatawaharibu nyie wenyewe
 
Haiingii akilini suala la magereza unamhusisha Bashiru kivipi hasa..ni kukosa akili tu ya kuwaza. Unajua ni kosa gani wamefanya au unahisia zako tu
Usitumie makalio kufikiri, Tumia kichwa, kwa akili zako ndogo wafuasi wa Chadema walivamia Gereza kwa nguvu?
Pathetic President, Pathetic followers!
Jinga sana nyie watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom