Kamanda Mambosasa: Upelelezi wa kesi ya wafuasi 27 wa CHADEMA wakiwemo viongozi wanaodaiwa kufanya fujo gereza la Segerea umekamilika

‪LIVE: Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM Lazaro Mambosasa anazungumza kuhusu kilichotokea juzi Segerea wakati Freeman Mbowe akisubiriwa kutoka gerezani

=====

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI
JESHI LA POLISI TANZANIA

TAARIFA KWA UMMA.
KUKAMATWA KWA WAFUASI WA CHADEMA 27 KWA TUHUMA ZA KUFANYA FUJO KATIKA GEREZA LA MAHABUSU SEGEREA.

Mnamo tarehe 13.03.2020 majira ya saa 07:00 mchana Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilipokea taarifa kutoka kwa maofisa wa Gereza la Mahabusu Segerea kuwa kuna kundi la wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) likiongozwa na wabumbe wawili ambao ni Halima James Mdee, Ester Amos Bulaya na Meya wa Ubungo Boniface Jacob limekusanyika katika geti la kuingilia gerezani hapo huku likiandamana na kufanya fujo kutaka kuingia kwa nguvu ndani ya gereza kwa lengo la kwenda kumtoa mwenyekiti wa chama chao Mhe.Freeman Mbowe.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum baada ya kupokea taarifa hizo lilituma askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) na askari wa kituo cha Polisi Stakishari na ambapo walipofika eneo hilo waliwakuta askari magereza wakiwa wanaendelea kuwadhibiti wanachama hao na ndipo Polisi walipowakamata watuhumiwa 27.

Baada ya watuhumiwa hao kukamatwa askari wa Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na askari wa Jeshi la magereza waliwachukua na kuwapeleka kituo cha Polisi Stakishari kwa mahojiano na baada ya mahojiano watuhumiwa wote 27 walidhaminiwa kwa mujibu wa sheria na watafikishwa mahakamani hivi karibuni kwani upelelezi wa shauri hili umeishakamilika.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa onyo kali kwa kikundi chochote cha siasa,dini,au mtu yeyote kuacha kabisa kuchezea maeneo nyeti kama magereza,makambi ya Majeshi yote au maeneo yoyote ambayo ni nyeti kwa taifa.

Hivyo atakayejaribu kufanya hivyo atachukuliwa hatua kali za kisheria.

WATU 03 WAPOTEZA MAISHA KWA AJARI YA BARABARANI.

Mnamo tarehe 15.03.2020 majira ya 04:30 alfajiri huko barabara ya kawawa mataa ya veta gari namba T 530 DNW aina ya EICHER daladala linalofanya safari za Mbangara- Makumbusho likitokea Mbagala kuelekea Makumbusho liligongana na gari la kubebea nyama lenye namba T 744 DET lililokuwa likitokea Tazara kuelekea katikati ya Jiji na kusababisha vifo vya watu watatu ambao ni wanaume wawili na mwanamke moja na kusababisha majeruhi ya watu nane.

Chanzo cha ajari ni daladala kutaka kuwahi kupita kwenye taa nyekundu.

LAZARO MAMBOSAS– SACP
KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM
DAR ES SALAM.
15/03/2020

Pesa zingine zinatakiwa tukamilishe sgr
 
Washenzi wakubwa,yaani chuki mnayojijengea ipo siku mtashangaa!
Hivi askari wakipata ajali na kufa kama 10 hivi,hilo shangwe mitandaoni naliona kama lote!
 
Nili tegemea nimsikie akilaani askari wake wa kiume kutumia nguvu juu ya wanawake hadi kuwavunja mikono. Yeye ana leta story za kuchaniwa nguo. Of which nao ni uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika taifa lililojaa ng'ombe Kama Hilo mtafanywa lolote like

Amkeni fanyeni Jambo jipya fanyeni kitu hakijawahi fanywa tokea duina iumbwe

Huyu Mzee vipi, Polepole alivyokwenda huko na makamera ya video alikuwa kaalikwa ba nani?
 
I hate this primate! Look at it. It pretends to be a human being!
Uko sawa kamanda mambo sasa! Namimi nakukubari sana kamanda wangu!
Umejibu maswari yote kwa ufadaha.
Kwa ukweli
Bila chembe ya uongo.
Naamini hata mahakamani kulingana nawalichokifanya wanaenda kula mvua za ukweli ili wakirudi wakute chama kimekufa kabisa. Halima na Bulaya wanajifanya wao nividume wameenderea kufanya vitendo visivyo jadi ya watanzania sasa naona wamefika sehem wanajiona ni mwamba.
Songesha mahakamani kwa mashtaka ambayo hawaweza kuyakanusha najua hata wao watakuwa wameyaandika.
1.kwenda kumtoa mfungwa gerezani bila ridhaa ya magereza
2.kufanya funjo ndani ya eneo la magereza kwa nia ovu yakutaka wafungwa watoke.
3.kuzuia jeshi la magereza kufanya kazi zao.
Nadhani walisahau kuwa mkuu wa magereza nchini saivi ni mjeshi.
Naina miaka2 jera au faini kwa kila mmoja.
 
‪LIVE: Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM Lazaro Mambosasa anazungumza kuhusu kilichotokea juzi Segerea wakati Freeman Mbowe akisubiriwa kutoka gerezani

=====

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI
JESHI LA POLISI TANZANIA

TAARIFA KWA UMMA.
KUKAMATWA KWA WAFUASI WA CHADEMA 27 KWA TUHUMA ZA KUFANYA FUJO KATIKA GEREZA LA MAHABUSU SEGEREA.

Mnamo tarehe 13.03.2020 majira ya saa 07:00 mchana Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilipokea taarifa kutoka kwa maofisa wa Gereza la Mahabusu Segerea kuwa kuna kundi la wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) likiongozwa na wabumbe wawili ambao ni Halima James Mdee, Ester Amos Bulaya na Meya wa Ubungo Boniface Jacob limekusanyika katika geti la kuingilia gerezani hapo huku likiandamana na kufanya fujo kutaka kuingia kwa nguvu ndani ya gereza kwa lengo la kwenda kumtoa mwenyekiti wa chama chao Mhe.Freeman Mbowe.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum baada ya kupokea taarifa hizo lilituma askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) na askari wa kituo cha Polisi Stakishari na ambapo walipofika eneo hilo waliwakuta askari magereza wakiwa wanaendelea kuwadhibiti wanachama hao na ndipo Polisi walipowakamata watuhumiwa 27.

Baada ya watuhumiwa hao kukamatwa askari wa Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na askari wa Jeshi la magereza waliwachukua na kuwapeleka kituo cha Polisi Stakishari kwa mahojiano na baada ya mahojiano watuhumiwa wote 27 walidhaminiwa kwa mujibu wa sheria na watafikishwa mahakamani hivi karibuni kwani upelelezi wa shauri hili umeishakamilika.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa onyo kali kwa kikundi chochote cha siasa,dini,au mtu yeyote kuacha kabisa kuchezea maeneo nyeti kama magereza,makambi ya Majeshi yote au maeneo yoyote ambayo ni nyeti kwa taifa.

Hivyo atakayejaribu kufanya hivyo atachukuliwa hatua kali za kisheria.

WATU 03 WAPOTEZA MAISHA KWA AJARI YA BARABARANI.

Mnamo tarehe 15.03.2020 majira ya 04:30 alfajiri huko barabara ya kawawa mataa ya veta gari namba T 530 DNW aina ya EICHER daladala linalofanya safari za Mbangara- Makumbusho likitokea Mbagala kuelekea Makumbusho liligongana na gari la kubebea nyama lenye namba T 744 DET lililokuwa likitokea Tazara kuelekea katikati ya Jiji na kusababisha vifo vya watu watatu ambao ni wanaume wawili na mwanamke moja na kusababisha majeruhi ya watu nane.

Chanzo cha ajari ni daladala kutaka kuwahi kupita kwenye taa nyekundu.

LAZARO MAMBOSAS– SACP
KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM
DAR ES SALAM.
15/03/2020

Hivi afande Kova bado yuko Gongolamboto.........jamaa alilimudu sana jiji enzi zake!
 
March 15, 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Leo Machi 15, 2020 Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es salaam, SACP Lazaro B. Mambosasa amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam na kutoa taarifa ya kukamatwa kwa wanachama wa CHADEMA kwa kosa la kuleta fujo katika gereza la Segerea.
 
Maelezo haya Ngumu kuelewa, wabunge viongozi wetu wanachama na wafuasi mbali ya kufanya kampeni za kistaarabu kukusanya pesa za faini, halafu waende gerezani kuvamia kufanya fujo !

Wakati tunataka wote waliokuwa 'wafungwa' wapate uhuru wao, kwa kuomba removal order kwa hakimu baada ya kulipa faini na kiu yetu ni kuona waliokuwa 'wafungwa' si tu wanatoka salama kwa utaratibu uliowekwa lakini wanafika salama makao makuu ya chama na kisha majumbani mwao wakiwa salama tusherehekee wote.
 
Back
Top Bottom