Ndio nini hiki? Hakukua na haja ya kuanzisha thread yenye maudhui haya wakati zipo threads nyingi zinazomhusu Lema pamoja na uchaguzi wa Arumeru
Steven Wasira ni jitu lenye miraba minne, linalotisha kwa sura na katika medani za kisiasa. Ni jitu lenye uwezo mkubwa katika kujenga hoja za nguvu zenye kueleweka na zaidi ubongo wake una uwezo wa kupakia hadi GB 800,000.
No one like Lema in this country !
Steven Wasira ni jitu lenye miraba minne, linalotisha kwa sura na katika medani za kisiasa. Ni jitu lenye uwezo mkubwa katika kujenga hoja za nguvu zenye kueleweka na zaidi ubongo wake una uwezo wa kupakia hadi GB 800,000.
Sasa kama Tendwa ni mnafik basi kwanini Lema amewekewa hao walinzi njaa? Au ndio wanaogopa asije pigwa lile dole?
These are different Leadership theories mkuu. Some leaders are BORN where as other leaders are MADE and so CREATED. Generally no one should conclude on one side and object the existence of the other side. It is obvious that a leader is either born or made!!!!!A leader is born and not made.So Lema was born or made to lead?
ndo maana wanataka kurithishana ubunge.
Policcm? unataka waombe ulinzi gan? Kama wao wanasubiri had waombwe basi imekula kwao. Ina maana hawakuckia tshio lililotolewa na wale wazee? Lema analindwa na Mungu. Morani wanaongeza nguvu.
Ukweli ni kwamba Lema haogopi gharama za uongozi na ndiyo maana haogopi kutenda haki kwa kadri anavyoweza na kusema ukweli bila kujali cheo au nafasi ya mtu huyo katika jamii. Viongozi wengi wanaogopa gharama za uongozi hasa anapoona atatofautiana na wenzake, mfano mzuri ni rais wetu katika suala kama muswada wa katiba na mengine mengi mnayajua.