Kama ningekuwa mimi nisingetangaza..Mkuu wa upelelezi alokabidhiwa kazi hii ndiye angetangaza yeye maanake haingii akilini. Huwezi kukurupouka kutangaza muuaji kutokana na mtu kujitokeza huku majuu vichaa wengi hufanya hivyo kwa publicity tu. Ushahidi ulokusanywa hufananishwa na maelezo ya mtuhumiwa na kikubwa zaidi Dr. Ulimboka mwenyewe angemtambua mhusika hapo ndipo unaweza kutangaza.Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?
Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!
Kwa nini sasa?
ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?
Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;

Alaumiwe nani? Boss wake said Mwema?
Kamanda Kova anastahili lawama zote kwa kuwa amekubali kuwa kibaraka wa viongozi wachache. Kuna mengi tu ambayo tuna uhakika kuwa anatumiwa na yeye ameridhika kwa kuwa na yeye ni mchumia tumbo tu. Kama angekuwa hapendi anachokifanya angeandika barua ya kujiuzuru uone kama anayetaka kumtumia hatorudi nyuma. Kova ni kiongozi goigoi ndia maana ameridhika kuwa kibaraka/kuwadi wa wengine. Kova hana usafi unaotaka tuuamini kuwa anao. Moron!!
Ni vyema kutomjadili huyu aliyetumwa na magamba.Huyu hana jipya zaidi ya kutetea ugali wake.Atakuja juta cdm tutakapochukua uongozi wa nchi hii kwa sababu wote waliohusika katika kuifanya nchi kuwa maskini na kudharaulika watawajibishwa ipasavyo
tumtie moyo kwa kuudanganya umma wa watanzania!? We vipi mkuu?
ni upepo, utapita tu! Kamanda kaza buti
Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?
Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!
Kwa nini sasa?
ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?
Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?
Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!
Kwa nini sasa?
ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?
Kwa hiyo unachojaribu kusema ni nini hasa? kwamba hatupaswi kuwa responsible na actions zetu. Think again.
mdau umeeleza short n klia,asante sanaTatizo ugali kaka! Fani yake hii akijiuzulu labda akaajiriwe Security Companies, ambako mshahara ni kimo cha mbuzi, na yeye ameshazoea kimo cha twiga; huoni kuwa ni wakati mgumu?