Kamanda John D. Pallangyo kusimikwa kesho Arumeru Mashariki

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,060
Reaction score
460
Wadau nawasalimu sana.

Mjumbe Wa Halmashauri kuu ya Ccm Wilaya na kada mwenzangu Wa Ccm kamanda John D. Pallangyo anatarajiwa kusimikwa kesho tarehe 20.12.2014 kuanzia majira ya SAA Tatu asubuhi katika viwanja vya Ngarasero katika Wilaya ya Meru mashariki.

Mosi John D Pallangyo atasimishwa kama kamanda Wa wilaya Vijana Wa Uvccm ambapo pamoja na hayo watahudhuria baadhi ya viongozi mbalimbali Wa serikali na makada Wa mkoa Wa arusha.

Tunaomba vijana wote Wa Meru mashariki kuja kumuona kamanda wenu mpya Wa wilaya Mzee wetu John Daniel Pallangyo.

Nawasilisha.
 
CCM huko ilishakufaga siku nyingi, sasa sijui anakuwa kamanda wa nini huyu jamaa
 
Ccm ipo lumumba tu Arusha tulisha delete ccm sikumingi
 
CCM huko ilishakufaga siku nyingi, sasa sijui anakuwa kamanda wa nini huyu jamaa

Duniani kote watu hupewa heshima na ukamanda mahali penye vita! Anasimikwa ili kumalizia kazi ya kumwangusha kijana mchoma bendera za CCM
 
Wadau nawasalimu sana.

Mjumbe Wa Halmashauri kuu ya Ccm Wilaya na kada mwenzangu Wa Ccm kamanda John D. Pallangyo anatarajiwa kusimikwa kesho tarehe 20.12.2014 kuanzia majira ya SAA Tatu asubuhi katika viwanja vya Ngarasero katika Wilaya ya Meru mashariki.

Mosi John D Pallangyo atasimishwa kama kamanda Wa wilaya Vijana Wa Uvccm ambapo pamoja na hayo watahudhuria baadhi ya viongozi mbalimbali Wa serikali na makada Wa mkoa Wa arusha.

Tunaomba vijana wote Wa Meru mashariki kuja kumuona kamanda wenu mpya Wa wilaya Mzee wetu John Daniel Pallangyo.

Nawasilisha.

Ccm hakuna makamanda bali kuna makada na wapiga wazee
 
Kamanda Palangyo lazima amuangushe Nassary mwakani. Wana Arumeru wanampenda sana
 
Ccm ilishakufa huko hee mbona waota mchana kijana mwenzetu? Amkia dili ni chadema tuuu
 
Kamalizaje wewe ngedere Wa chadema.

John Daniel Pallangyo ndiyo kiboko ya nassary hatobozi ubunge mwakani , chadema mtausikia radioni

Muulize huyo John eneo anolala na kuamkia mwenyekiti wake chama gani?!!!! Napenda kauli fupi tu busara za nassari "Tutaheshimiana tuu!!'"
 
Kamanda Palangyo lazima amuangushe Nassary mwakani. Wana Arumeru wanampenda sana[/QUOTE
Meru mngependwa msingevurugwa na Nassari hadi vitongojini kwa makada wenu!! Hivi ukishaishika tarafa ya poli, ngarenanyuki, tengeru, usa, maji ya chai, katiti, Meru si ndio imeisha!!!?
Hebu teremka hapo maji ya chai useme we ccm uone kitakachokukuta!!!
 
Kamanda Palangyo lazima amuangushe Nassary mwakani. Wana Arumeru wanampenda sana

Mkuu laki si Pesa , kamanda wetu wameru wamesema hakuna.cha nasary tena Meru wamepata chaguo lao na wamemsubiri sana John kwa muda mrefu wanampenda sana nenda maeneo yote Samaria, ngabobo, Maji ya chai, kila pahala ni jina la John Daniel Pallangyo linatajwa .
 
CCM na makamanda wapi na wapi? Sema kada wa ccm anasimikwa kama ataweza kukifufua ccm Arumeru mashariki
 
Aaaaaah sasa huu uonevu inamaana yule jamaa aliyefiwa na baba yake mkataka kumpa ubunge ili atunze familia hamtampa tena nafasi ya kugombea??

Hii si hasara jamanii, maana kijana wa watu alitumia pesa mpaka za rambirambi kwenye uchaguz na akashindwa saaasa nyie akina mmaranguoriginal. mnataka kumfanyia umafya tena???

kuweni na huruma basi watu wa ccm kwann hicho cheo msimpe siioyi sumar ili aitunze familia yake aliyoachiwa na kada wenu????
 
Last edited by a moderator:
Wadau nawasalimu sana.

Mjumbe Wa Halmashauri kuu ya Ccm Wilaya na kada mwenzangu Wa Ccm kamanda John D. Pallangyo anatarajiwa kusimikwa kesho tarehe 20.12.2014 kuanzia majira ya SAA Tatu asubuhi katika viwanja vya Ngarasero katika Wilaya ya Meru mashariki.

Mosi John D Pallangyo atasimishwa kama kamanda Wa wilaya Vijana Wa Uvccm ambapo pamoja na hayo watahudhuria baadhi ya viongozi mbalimbali Wa serikali na makada Wa mkoa Wa arusha.

Tunaomba vijana wote Wa Meru mashariki kuja kumuona kamanda wenu mpya Wa wilaya Mzee wetu John Daniel Pallangyo.

Nawasilisha.

Kamanda NI BRAND YA CHADEMA, C C M NAO WAMEANZA KUJIITA MAKAMANDA, DAH HILI NENO.POLENI SANA LABDA UMEJISAHAU BQAND YA C C M NI MAGAMBA.SEMA HV ,'KESHO LINASIKWA GAMBA....''!
 
Mkuu laki si Pesa , kamanda wetu wameru wamesema hakuna.cha nasary tena Meru wamepata chaguo lao na wamemsubiri sana John kwa muda mrefu wanampenda sana nenda maeneo yote Samaria, ngabobo, Maji ya chai, kila pahala ni jina la John Daniel Pallangyo linatajwa .

Nassary amewakasirisha sana Meru. Pesa za mfuko wa jimbo anafanyia harusi
 
Ni kweli mkuu, nasary ametumia mfuko Wa jimbo Pesa yote kufanyia harusi ya kwake na shemeji yake , na kujenga ghorofa kule momela wanameru wamechukizwa sana na kitendo hicho cha kihuni cha nasary.
 
Back
Top Bottom