Kamanda Diwani Athuman, amepewa majukumu yasiyoendana na weledi wake?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,237
103,894
Taarifa zinasema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 18 Novemba, 2016 amemteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Bw. Diwani Athuman kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera. Uteuzi wa Bw. Diwani Athuman unaanza mara moja.

Kwa maoni yangu naona majukumu haya hayahusiani kwa kiasi kikubwa na weledi wa Diwani. Hii imeleta changamoto sana kwa baadhi ya wateule wa Rais, Wakurugenzi na RASs kushindwa kutekeleza majukumu ipasavyo kutokana na kutokuwa na ujuzi katika sekta yao mpya. Kwa ujumla RAS ni msimamizi wa Halmashauri za Mkoa wake na mshauri wa Mkuu wa Mkoa.

HAYA NI MAJUKUMU YA RAS KWA MUJIBU WA MUONGOZO WA TAMISEMI WA 2012

PURPOSE OF THE JOB

The purpose is to facilitate the accessibility by the LGAs of the required and available expertise from the qualified, competent and multi-skilled Regional Secretariat. RAS has the prime responsibility for being the head of the Regional Secretariat, Accounting Officer and Receiver of Revenue for the RS, Secretary of the RCC, Chairperson of Regional Special Employment Committee (KAMUS), Chairperson of RMF and the Principal Advisor to the RC in the exercise of his functions.

MAIN ACTIVITIES

1. To coordinate and supervise the functions of the RS for the purpose of ensuring compliance with performance standards, government directives, guidelines, laws and regulations,

2. To advise and work with the RC to secure peace and order in the region,

3. To oversee the identification of LGAs opportunities and obstacles to development,

4. To oversee the development of LGAs interventions to address the opportunities and obstacles identified,

5. To advise the RC on the proposed capacity building measures basing on identified obstacles; advise and work with the RC to secure the enabling environment for successful performance by LGAs in terms of their development and administrative roles,

6. To supervise the regional strategic planning, focusing on institutional strengthening through tooling, retooling, staffing and staff training.

7. To advise the RC on issues concerning disaster management and relief allocation in the region,

8. To advise the RC on other administrative issues like but not limited to ceremonial functions and grievance handling.

9. To oversee the dissemination of information concerning the approved regional plan (vision, mission, objective and target) and budget items to those who will be carrying out the day to day operations

10. To liaise with other Ministries, government department and organizations

11. To perform any other relevant duties as directed by the RC or Permanent Secretary for PMO-RALG.

QUALIFICATION

Preferably Degree of Masters or equivalent qualification from a recognized academic institution

EXPERIENCE

Preferably 10 years of working experience
 
Mbona majukum yanaendana na qualifications zake. Hasa jukum namba 2 na 7.
 
Lengo ni kuwa huko mpakani kuwe na watu wa kumsaidia mkuu wa mkoa ambaye ni JWTZ Mstaafu, kupambana na uhalifu
 
namuona IGP nae akitafutiwa sehemu ya kwenda....pale lazima akae wa kanda maarum.......subirini
 
Atakacho weza ni kudhibiti mikutano ya upinzani na ushauri wa maswala ya ulinzi na usalama yeye akiwa kama kachero wa polisi.
 
Ulitaka nani apewe...yeye kupewa umepungukiwa nini acha watunyooshe hatuna ujanja mkuu
 
Taarifa zinasema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 18 Novemba, 2016 amemteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Bw. Diwani Athuman kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera. Uteuzi wa Bw. Diwani Athuman unaanza mara moja.

Kwa maoni yangu naona majukumu haya hayahusiani kwa kiasi kikubwa na weledi wa Diwani. Hii imeleta changamoto sana kwa baadhi ya wateule wa Rais, Wakurugenzi na RASs kushindwa kutekeleza majukumu ipasavyo kutokana na kutokuwa na ujuzi katika sekta yao mpya. Kwa ujumla RAS ni msimamizi wa Halmashauri za Mkoa wake na mshauri wa Mkuu wa Mkoa.

HAYA NI MAJUKUMU YA RAS KWA MUJIBU WA MUONGOZO WA TAMISEMI WA 2012

PURPOSE OF THE JOB

The purpose is to facilitate the accessibility by the LGAs of the required and available expertise from the qualified, competent and multi-skilled Regional Secretariat. RAS has the prime responsibility for being the head of the Regional Secretariat, Accounting Officer and Receiver of Revenue for the RS, Secretary of the RCC, Chairperson of Regional Special Employment Committee (KAMUS), Chairperson of RMF and the Principal Advisor to the RC in the exercise of his functions.

MAIN ACTIVITIES

1. To coordinate and supervise the functions of the RS for the purpose of ensuring compliance with performance standards, government directives, guidelines, laws and regulations,

2. To advise and work with the RC to secure peace and order in the region,

3. To oversee the identification of LGAs opportunities and obstacles to development,

4. To oversee the development of LGAs interventions to address the opportunities and obstacles identified,

5. To advise the RC on the proposed capacity building measures basing on identified obstacles; advise and work with the RC to secure the enabling environment for successful performance by LGAs in terms of their development and administrative roles,

6. To supervise the regional strategic planning, focusing on institutional strengthening through tooling, retooling, staffing and staff training.

7. To advise the RC on issues concerning disaster management and relief allocation in the region,

8. To advise the RC on other administrative issues like but not limited to ceremonial functions and grievance handling.

9. To oversee the dissemination of information concerning the approved regional plan (vision, mission, objective and target) and budget items to those who will be carrying out the day to day operations

10. To liaise with other Ministries, government department and organizations

11. To perform any other relevant duties as directed by the RC or Permanent Secretary for PMO-RALG.

QUALIFICATION

Preferably Degree of Masters or equivalent qualification from a recognized academic institution

EXPERIENCE

Preferably 10 years of working experience
Msomi anafanya kazi yoyote
 
Back
Top Bottom