Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani kutoka chama cha Democratic, Kamala Harris, ametangaza kuwa hatagombea nafasi ya Ugavana wa California, akivunja uvumi uliokuwa ukienea kwamba huenda akawania nafasi hiyo yenye ushawishi mkubwa
Harris amesema amefanya tafakari ya kina kuhusu suala hilo na, licha ya mapenzi yake kwa jimbo hilo na watu wake, ameona si wakati sahihi kwake kugombea nafasi yoyote kwa sasa. Hata hivyo, ameacha mlango wazi wa kugombea urais mwaka 2028
Kwa sasa, amesema ataendelea kujikita katika kuwahamasisha na kuwasaidia wagombea wa chama chake kote nchini Marekani, huku akiahidi kueleza mipango yake binafsi kwa kina katika miezi ijayo. Tangu kushindwa kwenye uchaguzi wa urais dhidi ya Donald Trump mwaka 2024, Harris amekuwa akiishi maisha ya faragha na utulivu
=====
Democratic former U.S. Vice President Kamala Harris said on Wednesday she will not run for governor of California, ending speculation that the failed presidential candidate would seek the high-profile post
"I have given serious thought to asking the people of California for the privilege to serve as their Governor. I love this state, its people, and its promise. It is my home. But after deep reflection, I’ve decided that I will not run for Governor in this election," she said in a statement
Harris said she would not run for office now, leaving the door open for a possible presidential bid in 2028.
"For now, my leadership — and public service — will not be in elected office. I look forward to getting back out and listening to the American people, helping elect Democrats across the nation who will fight fearlessly, and sharing more details in the months ahead about my own plans," she said
Harris has kept a relatively low profile since losing the presidential election to Republican Donald Trump in 2024.
California Governor Gavin Newsom, a Democrat who has held the post since 2019, cannot run for re-election due to term limits
Other high-profile Democrats have announced their candidacy, including Xavier Becerra, who served as health and human services director under former President Joe Biden and former U.S. Representative Katie Porter.
Source: Reuters