Kama ww ni mwanamke kampani ipo hapa

Kama ww ni mwanamke kampani ipo hapa

sungura23

Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
52
Reaction score
73
Hello wanajamvi.

Poleni kwa mihangaiko yenu na ninatumaini mko vyema.

Leo naja kivingine kidogo kwa kuwa nmejiridhisha kuwa inafaa niweke wazi kuwa nahitaji kampani ya kike. Mimi ni wa kiume, nina miaka 31, nina elimu ya chuo na nina kipato cha kawaida kwa kujiajiri mwenyewe.

Kifupi nahitaji kampani ya mwanamke anayejielewa, kikubwa awe mchangamfu, anayejua maana ya kutafuta maisha na pia wadada wembamba naomba mnisaheme nyinyi hampo kwenye chaguo langu. Mimi ni mrefu kiasi, mwembamba na rangi yangu sio mweusi hata kidogo lakini sio mweupe pia.

Sijawabania wale dada zangu wale wenye umri 35 na kuendelea kama inatokea kuna kaupweke flani hivi huwa kanakupata basi usisite PM iko wazi karibu sana.

Maelezo mengine utayapata PM na kama kutakuwa na uhitaji wa kuboresha uzi wangu nitafanya hivyo.

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom