Kama Wewe ni Php Developer Mzuri Pitia Hapa

Kama Wewe ni Php Developer Mzuri Pitia Hapa

muvika online

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2016
Posts
374
Reaction score
283
Habari wana JF,
Nahitaji Kuboresha Mfumo wangu wa Malipo katika Website yangu Maana Inatakiwa Mtu Aweke pesa kwenye akaubti yake (Deposit) au atoe pesa (withdraw) kwa kutumia Njia ya Simu ambayo ni salama.

Hivyo badi natafuta Php Developer wa kuweza kunifanyia Kazi hiyo

Tuwasiliane kupitia 0682981786 Nikupe muongozo kamili
 
sema na wewe hadimu na kiblog chako.
Series hazipostiwi mpyampya.
 
Back
Top Bottom