Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,283
- 55,901
Nimeikuta mahali...ungekuwa ni wewe ungefanyaje?
ha ha ha kwa hiyo usingemfanya chochoteInawezekana jamaa ni mgonjwa wa akili..
Dawa hapo ukifika hispitali ni kumtupia kwa wenzake ward ya wagonjwa wa akili wakapambane
ha ha ha ha utakuwa umeua kwa kukusudiaNingepigiza huo mbichwa chini ubongo utoke nione kama ni wa matope au kamasi
ha ha ha ili iweje?Unapanua aone vizur
ha ha ha ili iweje?
Nimejikuta nacheka kwa sauti tuNamwita huyo wa mbele! Tubadilishane tuu
Hahaha hahaha hahahaNimejikuta nacheka kwa sauti tu
ha ha ha ha au unatoa kabisa kufuliSi kataka kuona alipotokea mkuu
Utakuwa hujamtendea haki,si ajabu katika kutazama ndio anapata nafuuHahaha hahaha hahaha
Hiyo ndo dawa


Ungeua sasa
Ningepigiza huo mbichwa chini ubongo utoke nione kama ni wa matope au kamasi
Hamna nafuu hapo!Utakuwa hujamtendea haki,si ajabu katika kutazama ndio anapata nafuu
ha ha ha ha ila nafsi itakuwa inakuumaHamna nafuu hapo!
Nahamia kwa mbele
Hapana jamaniii...ha ha ha ha ila nafsi itakuwa inakuuma