Kama wewe ni mwanaume una watoto watatu njoo hapa haraka

Kosea Kuoa/Kuolewa Maana Mtaachana

Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka Miaka Mitano
Kupanga Ni Kuchagua
By Mzilankende
 
I wish huyu mwanamke angekua mkeo ndio ungeelewa uchungu nilio ubeba Hadi nimekubali kuonekana mbeya mkuu
Uko nchi gani, mkoa gani, district? Ingesaidia maana inaweza kuwa uko Kenya ambako biashara ya kubadilishana wenza inaendelea, ama uko Burundi ama Rwanda

Mwaga mboga kabisa tumsaidie jamaa
 
Jamani hii post ni kwa ajiri ya mwanaume mwenzetu.

Kama wewe una mke mmoja, Ana watoto watatu wote wa kiume mtoto wako wa mwisho Ana miaka minne Basi huu uzi ni wako.

Natamnua unahangaika Sana kujenga familia yako ila mkeo hayupo pamoja na wewe.

Nakuambia mkeo anavyo sema anaenda kazini kila siku asubuhi ni muongo hapa ninapo ishi jirani ndio wamepanga chumba kimoja na kajamaa ndio wanashinda hapa na jioni anarudi kwako.

Yaani hela unazo muachia za matumizi na familia ndio wanakuja kushinda na haka kajamaa. Kusema ukweli haka kajamaa hakampemndi ila mkeo ndio anamlazimisha kwa kutumia nguvu ya pesa zako na mkeo anafosi waowane ila kajamaa ndio kanazuga inamaana kakikubali tu mzee imekula kwako .

Najua unaweza ukasema Mimi mbeya ila huu umbeya ni wa faida na nimeupata kwenye chombo kinacho aminika na mkeo huwa namuona kila siku ni mweusi ananyoa panki.

Mzee kifupi nakushauri Anza kukuandaa kisaikolojia na kujua jinsi gani utaishi na hao watoto bila mama yao nakuapia huyu mkeo ni kimeo Sana na Leo tarehe 2/12/2021 huyu mkeo amezinguana na kajamaa huku so tegemea uwepo wake hapo nyumbani ila wakipatana tu na haka kajamaa mwendo wa mkeo kuja huku unarudi Tena na hii ni kila siku .

Msaada wangu umeishia hapa ...ukiniona mbeya sawa langu la moyoni nimesha fichua maana limenitesa Kama miezi kadhaa hivi . Hatimae leo nimekua huru.
ili kumsaidia mvizie upajue kwake code nyepesi hiyo.
 
Uko nchi gani, mkoa gani, district? Ingesaidia maana inaweza kuwa uko Kenya ambako biashara ya kubadilishana wenza inaendelea, ama uko Burundi ama Rwanda

Mwaga mboga kabisa tumsaidie jamaa
Nimeshindwa kutaja hayo yote kuhofia na Mimi mwenyewe kutoa details zangu.

Labda nisaidie kumtaja mwanamke alivyo

Ni mrefu size ya Kati.
Ni mweusi.
Ni mwembamba ila anakimwili kidogo .
Ananyoa kwa kupunguza nyele za pembeni na kuacha za juuu kidogo..

Sifa kuu anawatoto watatu wa kiume , mtoto wa mwisho Ana miaka minne na mmoja Kama sio wa kwanza au wa pili Ana miaka nane.

Hadi hapa utakua umepata picha
 
Jamani hii post ni kwa ajiri ya mwanaume mwenzetu.

Kama wewe una mke mmoja, Ana watoto watatu wote wa kiume mtoto wako wa mwisho Ana miaka minne Basi huu uzi ni wako.

Natamnua unahangaika Sana kujenga familia yako ila mkeo hayupo pamoja na wewe.

Nakuambia mkeo anavyo sema anaenda kazini kila siku asubuhi ni muongo hapa ninapo ishi jirani ndio wamepanga chumba kimoja na kajamaa ndio wanashinda hapa na jioni anarudi kwako.

Yaani hela unazo muachia za matumizi na familia ndio wanakuja kushinda na haka kajamaa. Kusema ukweli haka kajamaa hakampemndi ila mkeo ndio anamlazimisha kwa kutumia nguvu ya pesa zako na mkeo anafosi waowane ila kajamaa ndio kanazuga inamaana kakikubali tu mzee imekula kwako .

Najua unaweza ukasema Mimi mbeya ila huu umbeya ni wa faida na nimeupata kwenye chombo kinacho aminika na mkeo huwa namuona kila siku ni mweusi ananyoa panki.

Mzee kifupi nakushauri Anza kukuandaa kisaikolojia na kujua jinsi gani utaishi na hao watoto bila mama yao nakuapia huyu mkeo ni kimeo Sana na Leo tarehe 2/12/2021 huyu mkeo amezinguana na kajamaa huku so tegemea uwepo wake hapo nyumbani ila wakipatana tu na haka kajamaa mwendo wa mkeo kuja huku unarudi Tena na hii ni kila siku .

Msaada wangu umeishia hapa ...ukiniona mbeya sawa langu la moyoni nimesha fichua maana limenitesa Kama miezi kadhaa hivi . Hatimae leo nimekua
Ungetoa hata location wanapoishi hata kwa Kanda, mfano; Kanda ya Kusini, Kaskazini, Nyanda za Juu kusini, nk
 
Jamani hii post ni kwa ajiri ya mwanaume mwenzetu.

Kama wewe una mke mmoja, Ana watoto watatu wote wa kiume mtoto wako wa mwisho Ana miaka minne Basi huu uzi ni wako.

Natamnua unahangaika Sana kujenga familia yako ila mkeo hayupo pamoja na wewe.

Nakuambia mkeo anavyo sema anaenda kazini kila siku asubuhi ni muongo hapa ninapo ishi jirani ndio wamepanga chumba kimoja na kajamaa ndio wanashinda hapa na jioni anarudi kwako.

Yaani hela unazo muachia za matumizi na familia ndio wanakuja kushinda na haka kajamaa. Kusema ukweli haka kajamaa hakampemndi ila mkeo ndio anamlazimisha kwa kutumia nguvu ya pesa zako na mkeo anafosi waowane ila kajamaa ndio kanazuga inamaana kakikubali tu mzee imekula kwako .

Najua unaweza ukasema Mimi mbeya ila huu umbeya ni wa faida na nimeupata kwenye chombo kinacho aminika na mkeo huwa namuona kila siku ni mweusi ananyoa panki.

Mzee kifupi nakushauri Anza kukuandaa kisaikolojia na kujua jinsi gani utaishi na hao watoto bila mama yao nakuapia huyu mkeo ni kimeo Sana na Leo tarehe 2/12/2021 huyu mkeo amezinguana na kajamaa huku so tegemea uwepo wake hapo nyumbani ila wakipatana tu na haka kajamaa mwendo wa mkeo kuja huku unarudi Tena na hii ni kila siku .

Msaada wangu umeishia hapa ...ukiniona mbeya sawa langu la moyoni nimesha fichua maana limenitesa Kama miezi kadhaa hivi . Hatimae leo nimekua huru.
Wanyaki bhana akili zenu mnazijua wenyewe
 
Back
Top Bottom