Kama Wewe ni Mwanachama wa NSSF, PPF, PSPF... Soma Hapa!!!

Mfuko wa wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kufilisika?

Kwamba serikali ya Tz katika muda tofauti imekopa fedha lukuki toka NSSF na kushindwa kufanya marejesho ktk mfuko husika! Mifuko mingine ya Jamii inatajwa kuwa ni: PPF, PSPF, LAPF pamoja na NHIF. Hii ni habari kulingana na taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali (CAG) ya 2010/2011. Habari hii siyo nzuri masikioni mwa wanachama husika!

Ikiwa wewe ni mwanachama ktk mojawapo ya mifuko hii, hali hii unaionaje?

Source: Mwanahalisi, ISSN: 1821- 5432, TOLEO Na. 290, 2012.

Ili mifuko tajwa ifilisike ni lazima ajira zisitishwe kwa miaka kama ishirini hivi (kitu ambacho sii rahisi!) halafu wanachama woote kwa mpigo waende kudai pesa zao kwa mantiki hiyo sii rahisi mifuko kufilisika kama unavyofikiri halafu sasa hivi BoT na SSRA wanafuatilia kwa karibu afya ya mifuko yote nchini ili pesa za wanachama ziendelee kuwa salama. so usituchanganye na taarifa za mwanahalisi fuata taarifa za BoT hadi hapo tutakapo sikia toka kwao, members hatuna hasa ya kuwa na wasiwasi.
 
Kama habari hii ya kweli basi waathirika wa kwanza ni wastaafu. Nini cha kufanya? Kwa kuwa mifuko hii inaelemewa na shinikizo la viongozi wa serikali ni ngumu sana kuzuia uharibifu huu kama mfumo wa sasa wa utawala hautabadilishwa.
Ushauri wangu kwa wanachama binafsi wa mifuko hii ni kama ifuatavyo:

(1) Wajitayarishe mapema juu ya kustaafu kwao (Calculated and prepared retirement). Wasitegemee pension zao kwa ajili ya kujengea nyumba baada ya kustaafu kwani pesa hizo hazitatosha kamwe. Thamani ya michango yao itakuwa imeliwa na mfumko wa bei kwani serikali inaweza ikaamua kuchapa pesa ili kufidia naksi (print money for sake of financing the deficit). Ni muhimu kuwekeza kwenye vitu vinavyoongeka thamani kadiri muda unavyokwenda. Vitu kama nyumba, hisa, kuwa na ardhi kwenye maeneo muhimu nk ni muhimu kuwa navyo mapema kabla hujastaafu.
(2) Panga kustaafu mapema (Plan early retirement). Hiki ni kitu muhimu sana kwani hukufanya kukaa na kifikiri kisayansi, kimkakati na kiakili zaidi juu ya maisha yako badala ya kuendelea kujipa matumaini kuwa pensheni yangu itaniwezesha kuwa na maisha mazuri nitakapostaafu. Kazi kwenu wanachama wa mifuko hii ya kiimla.
 
hizo ni tetesi uchwara!!
Taasisi hizo zina pesa ya kutosha ya kulisha tanzania nzima kwa mwaka mzima, na wastaafu wakapata pension yako kama kawaida.
Acheni kutisha wa2. Shenzi.

lisemwalo lipo na kama halipo linakuja.

mizambwa
nabii mtarajiwa!!!
 
Ili mifuko tajwa ifilisike ni lazima ajira zisitishwe kwa miaka kama ishirini hivi (kitu ambacho sii rahisi!) halafu wanachama woote kwa mpigo waende kudai pesa zao kwa mantiki hiyo sii rahisi mifuko kufilisika kama unavyofikiri halafu sasa hivi BoT na SSRA wanafuatilia kwa karibu afya ya mifuko yote nchini ili pesa za wanachama ziendelee kuwa salama. so usituchanganye na taarifa za mwanahalisi fuata taarifa za BoT hadi hapo tutakapo sikia toka kwao, members hatuna hasa ya kuwa na wasiwasi.

Kawaida hata Wabunge waliposema kuwa BOT kuna wajanja wamechota pesa za EPA; sisi Wadanganyika tulikataa tena tukiongozwa na Spika S. Sitta pamoja na Wabunge wa CCM.

Lakini mwisho wake ikawa AIBU KWA WOTE TULIOKUWA TUNAKATAA.

CHUKUA TAHADHARI isiJEKUWA AIBU KWAKO ITAKAPOKUJA THIBITIKA KUWA JAMAA KWELI WANACHOTA HUKO.

MIMI binafsi NAAMINI HII TAARIFA SITAKI KUPATA AIBU BAADAYE!!!!

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Ili mifuko tajwa ifilisike ni lazima ajira zisitishwe kwa miaka kama ishirini hivi (kitu ambacho sii rahisi!) halafu wanachama woote kwa mpigo waende kudai pesa zao kwa mantiki hiyo sii rahisi mifuko kufilisika kama unavyofikiri halafu sasa hivi BoT na SSRA wanafuatilia kwa karibu afya ya mifuko yote nchini ili pesa za wanachama ziendelee kuwa salama. so usituchanganye na taarifa za mwanahalisi fuata taarifa za BoT hadi hapo tutakapo sikia toka kwao, members hatuna hasa ya kuwa na wasiwasi.
naona bado ile slogan ya "serikali imesema" imekuwa ngumu kutoka katika kichwa chako.
Basi nami nakushauri uendelee kuamini hivyo ila usisahau Vitabu vitakatifu vinatuasa kuwa ukisikia kelele za 'mwizi, mwizi', ni bora ukaamka na kuangalia au hata kuchungulia dirishani!

Bot na ssra zipo chini na serikali ipi?

Ili mifuko tajwa ifilisike ni lazima ajira zisitishwe kwa miaka kama ishirini hivi (kitu ambacho sii rahisi!) halafu wanachama woote kwa mpigo waende kudai pesa zao kwa mantiki hiyo sii rahisi mifuko kufilisika kama unavyofikiri halafu sasa hivi BoT na SSRA wanafuatilia kwa karibu afya ya mifuko yote nchini ili pesa za wanachama ziendelee kuwa salama. so usituchanganye na taarifa za mwanahalisi fuata taarifa za BoT hadi hapo tutakapo sikia toka kwao, members hatuna hasa ya kuwa na wasiwasi.
 
Hapa la msingi ni kuhakiki uhai wa uwanachama wako; mwisho wa siku tutaikamata miradi yao yote ikiwa na majengo yao yenye ofisi mbalimbali na kutangaza mnada then tunagawana chetu; najua ndani ya mifuko hii tuna viongozi wazuri tu na wanasheria"
 
Hii mijizi imeiba kwenye mirdi ya wafadhili hadi mwisho ,sasa inaaza kujiibia wenyewe
TANZANIA BILI CCM NI UTAJIRI WA KUFA MTU umaskini tunaupata kwa ajili ya ccm ya kikwete
 
Mi bado sijafikia kustaaf kwa hiyo haitakua na madhara kwangu

Huu ubinafsi ndo unaochangia kukua kwa kasi kwa ufisadi katika nchi za kiafrika. Watu hawajali wengine, wanajiangalia wao tu! Tunahitaji kubadilika na kuwajali wengine na hapo tutaacha ulafi wa kujilimbikizia mali za wizi.
 
nasikia hata wafanyakazi wanaokatwa Nssf na hazina walioko hospitali za mishen DDH VAH hela zao zimeliwa, hebu mwanahalisi walifanyie utafiti
 
hii habari ni mbaya mno...!

isitokee kabisa
 
Ngoja nifanye mpango nikachukue fungu langu bora hata niwe nalala nalo uvunguni! Lol
 
Back
Top Bottom