Kama wewe ni mkulya kaa kulia[emoji3][emoji3]

Kama wewe ni mkulya kaa kulia[emoji3][emoji3]

exalioth

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
2,395
Reaction score
4,152
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kama wewe ni mkulya- kaa kulia

Kama wewe ni msukuma- kasukume wasukuma wenzio

Kama wewe ni mjita- jitahidi ufikie malengo ulionayo

Kama wewe ni msubi - nisubili hapo hapo

Kama wewe ni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]


Malizia na wewe[emoji3][emoji3]

Exalioth
 
Kama wewe ni muha endelea kutoa utamu
 
Kama wewe ni Mwarusha acha turushe tu Mawe kwa Kitendo cha Gwajima
 
Kama we n mgogo endeleea kuwa gogo uwanjan ka clip ya mtumshi ....!
 
Back
Top Bottom