Kama wewe ni mfugaji wa kuku app hii itakusaidia kusimamia shamba kiurahisi mno

Kama wewe ni mfugaji wa kuku app hii itakusaidia kusimamia shamba kiurahisi mno

Brayan_Jk

Senior Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
187
Reaction score
197
1750323952162.png

Kabla hatujaanza kutengeneza Fuga, tulizungumza sana na wateja wetu, tukijitahidi kuelewa changamoto zao na kujibu maswali ya kila siku wanayokutana nayo katika shughuli zao za ufugaji wa kuku.
Moja ya maswali yaliyoulizwa sana na ambalo tunafurahia kulitatua kupitia app yetu ni hili hapa : ⏳ Ni siku ngapi zimebaki kabla chakula cha kuku kuisha?





Device.png
Kwa kutumia Fuga App, hutakumbwa tena na upungufu wa chakula bila kutegemea. Kipengele chetu mahiri cha Chakula kinakueleza kwa usahihi ni siku ngapi chakula kilichopo kitaisha hivyo unaweza kupanga, kununua mapema, na kuepuka hasara na usumbufu

📦 Mfano: Una kuku 300 na mifuko 5 ya chakula? Fuga itakokotoa muda kitatosha, hakuna kubahatisha!







Uzinduzi unakaribia...
Usisahau kuwaambia wakulima wenzako na familia waskan code au watembelee tovuti yetu ili kujiunga na orodha ya kusubiri na kuwa wa kwanza kupata taarifa: 👉 www.primaxtz.com
1750324447913.png
 
kwenye hio app ya fuga ongezeeni na magonjwa ya kuku,
 
Back
Top Bottom