Kama wewe ni makini?

Kama wewe ni makini?

Umasikini ni fikra tu iliyowekwa na mabepari kukufanya ununue bidhaa kutoka kwao ili uthibitishe wewe siyo masikini.

Kama una afya njema, unakula, unalala, una demu, hauombi ombi, mengine ni majaaliwa
 
Back
Top Bottom