SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,989
Umekuta mwanamke ana mume wake na wanandoa halali acha kuivuruga . Maana kwa sasa utaona sawa ila kwa baadae wewe na familia yako , mtakipata pata , mtapata kijitoto kingine kimteke mume wako na wewe utamani kujiua. Kama sasa unavyomfanyia mwenzako kwenye ndoa yake.
Kuna mwanadada alikuwa ni malaya tena alikuwa mzuri sana . Alipendwa na kila mtu hadi wazungu. Huyu dada aliwachanganya watu na ndoa,zao nyingi tu kwake alijiproud . Ikapita miaka kadhaa akazalishwa na kicheche walikuwa wanapigana wanaumizana wanafanyiana utovu wanizamu. Hadi basi huyo kaka anafumaniwa kila mahali nawanawake zake. Walifanya hivyoo hadi huyo dada akaondoka hiyo nyumba na huyo kaka akaoa ila alikuwa kapata majeraha sana.
Jifunzeni wanaume wawatu ni Sumu unajizolea laana . Nuksi, na mabalaa. Jingine pia huyoo dada hadi naleo anajutia kuharibu maisha ya watu.
VIjana acheni wake za watu mnajizolea mibalaa ,mikosi na kujitafutia kifoo.
Kuna mkaka alilawitiwa akauwawa na mume wa huyo dada na mwingine kijana alichomwa huko ndani na mke wa jamaa wakiwa kwenye tendo.
Intake cha bure cha umiza. Hata watu walioshazaa hao pia wanamadifenda yao kindaki ndaki mtauwawa.
Hamtaki wazee kuna wadada wadogo saizi yenu chezeni michezo yenu hadi mchoke hilo ndilo wazo langu la leo. Kwa hii sampuli ya 2000's
Good night .